Kama ulituma maombi wizara ya afya. Na km uko Dsm pia inakuhusu!

ndebile, hata kam kungekuwa na ukweli wowote ktk ulosema, watz tunashuhudia kazi nyingi nzuri ambazo CO wanafanyia jamii

haina haja ya kubishana naye jina tu linadhadifu mtu alivyo ni ndebile kweli hata akil yake inaonyesha.
 
Nawafahamu sana hawa CO, ni ngazi ya diploma na ili uende huko ni lazima uwe umeangukia pua katika masomo yako ya f.VI zamani hata std 7 walikuwa wanaruhusiwa kujiunga na vyuo vya utabibu.

Katika kuogopa uharibifu wao serikali imeondoa hawa watu kutibu katika ngazi ya hospitali na wanatibu katika ngazi za health centre na zahanati tu.
Nchi nyingine hakuna kada hiyo katika kada za afya lakini pia jiulize mtu aliyefeli masomo ya kidato cha nne/sita unaweza kumruhusu amtibu mwanao? Afya ya mtu haifanyiwi majaribio.
UKWELI NI MGUMU KUMEZA!en.m.wikipedia.org/wiki/Clinical_officer

Unachokifanya haukijui nan alikudanganya kuwa kufel form 4 au 6 ni ujinga. Fikiria?
Na pia hao ma c.o unafkir wanakuja kufundsha bla kupewa mafunzo? Ni kupe siri ma c.o wanaumuhimu mkubwa kuliko ht unavyofkr.
 
Naomba kuuliza hv clinical medicine (officer ) akitaka kujiendeleza ataweza kusomea course gani chuoni waungwana?
 
Najiuliza hivi: Huu ujinga wanaoufanya ma-clinical officer huku makazini, na bado ma-losers wengine wanaingia kwenye fani kuja kutuua! Serikali futa hii kada, hawa waganga ni wauaji tu!

Kiukwel nikiulzwa wiki hii nani kaniboa kuliko wt nitamtaja NDEBILE, naiman ulicho-post haujafikiria kwa undan sna nimejaribu kufuatilia historia yk. Nimegundua kuwa unatabia ya kukurupuka.
Mdg wng usipende kudharau kaz ya m2 ma C.0 wana kazi kubwa sna ktk jamii yt kwan ndio wanatoa msaada kwa madaktar ktk kuwahudumia wagonjwa. Nikuulze kpnd madaktar waligoma ni akina nan walikuwa wanahudumia wagonjwa?
Jitahd kuwa na lugha nzur hauwez kumuita mwenzako losers. Na nahc hata 4m 4 haukapata crdt so, unahc kila m2 ni km ww. Kwa faida yk mdg wng. Fikiria unachokifanya haukijui!
 
Jumatatu ndo hii hapa! Je? Matokeo ya wizara ya afya yatatoka kweli kama walivyosema yanatoka leo?
Tupia chochote kama una details zozote!
 
Back
Top Bottom