Kama ulituma maombi wizara ya afya. Na km uko Dsm pia inakuhusu!

Jul 14, 2012
60
4
kuna habari nimezipata lakn cna uhakika nazo kuwa matokeo ya clinical officer yametoka na wamebandika majina ya waliochaguliwa hapo wizara ya afya mie nko nje ya Dar. Km kuna m2 ana uhakika hz taarifa anijulishe.
 
wewe hujapata habari popote usizingue wenzio..sema kama unataka watu wakakutazamie kijanja.
 
Hivi selection ya walioomba wizara ya afya imetoka, na huwa inawekwa sehemu zipi maana kimya kingi.
Tafadhali tupeane updates!
 
Matokeo bado hayatoka,web yao haifunguki kwa sababu wapo kwenye mantanace program,kwa taarifa matokeo yanatoka kuanzia jumatatu
 
kaka waryoba unauhakika huo?kwamba j3.. make imekuwa kama wimbo kwamba yanatoka kesho kesho...nihakikishie kaka..of couse web yao haifunguki!
 
Yakitoka jtatu kuripoti vyuoni itakuwa lini?tumesubiri mpaka basi mwenye updates please...
 
Vipi na kuhusu wanafunzi walotuma maombi bila kugonga MUHURI WA MWANASHERIA WA SERIKALI, HAWATACHAGULIWA?
TUFAHAMISHANE KWA HILO JAMANI!
 
Back
Top Bottom