Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,543
- 35,401
jinsi unavyoendelea kumjibu ndio hasira zinapanda zaidi aisee. kwenye jukwaa la siasa kule ban nje njeni kweli yani mpaka hasira zinakuwaka ila naonaga ukiendelea kumjibu ni kujiongezea hasira.
wanabidi walifanyie kazi team ya jf kulitatua hilo swala.
ngoja tuone kama watalifanyia ufumbuzi maana imekuwa kero sana sasa