Kama ulikuwa hujui

Kama ulikuwa hujui

Inabidi @Modorate watu tunuku sisi ambao tumekua watiifu wa kufuata sheria za jf pasipo kupata bun, ilhali tukiwa wachangiaji 24/7
Kwa kweli wanabidi wafanye mchakato huo....tupate zawadi zetu.
 
[emoji3] ila kuna siku niliweka post chitchat yenye heading 'sijui nitapigwa ban' aisee kuja kushangaa niko kifungoni na sababu waliyotoa eti niliomba mwenyewe....hii ban ilinipa hasira sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mi ban huwa napata kila wiki.
Halafu sijui wamenifanyaje! Yaani nikipata ban siruhusiwi hata kulog out, inakuwa error tu.
 
Si walisema wanakuza kiswahili? Mbona tena tunatumia kidhungu?
 
Back
Top Bottom