Kama ulikuwa hujui

Kama ulikuwa hujui

kwanza unaepusha mengi sana.

naona emoji hahahaha
sana......uwa najiuliza nisipomjibu kwani nitapungukiwa na nini........basi naishiaga hapo tu.....atakayetaka kuongea aongee yawe ya kweli ya uongo simjibu kitu........

emoji somo limeeleweka ingawa muda mwingine jf app inasumbua.
 
Ukishaona tu mtu hana mwelekeo mzuri kwenye mjadala unamfungia vioo haraka sana na kumpuuza kabisa...ni njia ngumu lakini very productive
kabisa huna haja ya kumjibu vibaya.....unajifanya mjinga ila kwa manufaa yako zaidi.
 
sana......uwa najiuliza nisipomjibu kwani nitapungukiwa na nini........basi naishiaga hapo tu.....atakayetaka kuongea aongee yawe ya kweli ya uongo simjibu kitu........

emoji somo limeeleweka ingawa muda mwingine jf app inasumbua.
ila mda mwingine kuna watu wanakera sana aisee. unaweza kukaa kimya ila bado atakutafuta ili mradi tu.

kweli limeeleweka vyema. JF app inasumbua sana sijui nini tatizo. hapa natumia opera mini kuingia JF.
 
ni kweli yani mpaka hasira zinakuwaka ila naonaga ukiendelea kumjibu ni kujiongezea hasira.

wanabidi walifanyie kazi team ya jf kulitatua hilo swala.
 
Back
Top Bottom