Siwezi ingia hata unichokoze vipi.Omba Mungu usiingie huko
Hahahaha,nimeiona kama mara mbili jana......Hii sio avatar ya kawaida View attachment 387160..! Usije ukadhani mbona avatar moja wanatumia watu wengi?
Ukiona hivyo jua mtu yuko lockup tayari
Yani ikitokea nikapigwa BAN week hii lazima nifungue ID nyingine....(UKUTA)hahaha Hahaha mod 1 2 3 4 5 6 7 heshima zenu wakuu.MishanaJr omba usipigwe Ban hizi kuanzi kuanzia leo hadi tarehe 6 utakosa huondo wa UKUTA ndani ya hili jamvi la JF.
swissme
Ukishaona tu mtu hana mwelekeo mzuri kwenye mjadala unamfungia vioo haraka sana na kumpuuza kabisa...ni njia ngumu lakini very productiveHalafu kuna watu wapo kwa ajili ya kuwatafutia wenzao ban kuna mmoja alinikomalia ila bahati nzuri Mod aliona na akamgeuzia kibao yeye
Kati ya waliokuwa hawajui hii kitu, na mimi ni mmoja wapo... Asante kwa taarifaHii sio avatar ya kawaida View attachment 387160..! Usije ukadhani mbona avatar moja wanatumia watu wengi?
Ukiona hivyo jua mtu yuko lockup tayari
Ngoja nikuchokoze sasa![]()
![]()
![]()
nichokoze tu lakini nitaishia kusema "sawa mshindi wewe"....siyo siri kubishana na mtu uwa siwezi hata kama umenionea.....kwanza unaepusha mengi sana.![]()
![]()
nichokoze tu lakini nitaishia kusema "sawa mshindi wewe"....siyo siri kubishana na mtu uwa siwezi hata kama umenionea.....