Kama ulikuwa hujui maana ya Sanctions basi waulize Warusi

Kama ulikuwa hujui maana ya Sanctions basi waulize Warusi

Kuwa na taifa la watu wenye fikra kama zako ni sawa na maiti!! Unapaswaa kuwa jasiri kutetea maslah ya nchi yako! Hao west unaowaogopa ni wapuuzi wanaoiharibu dunia mpaka sasa. Lazima nchi za dunia ziamka na kutaa huu ushenzi wa watu wa magharibi. Haiwezekani wao wajione ni bora kuliko wengine. Wao walivyoipiga libyaa..ugoslavia nani aliwawekea vikwazo..wapalestina kila siku wanazika ndugu zao kwa sababu ua washenzi wanaojiita wayahudi na kumbe ni mashetani yaliokataliwa huko west.
Acha kuwa na akili za kitumwa amka mwafrika mwenzangu.
Akili kama zako zinatufanya kusisonge mbele had tunaanza kununua vichwa vya train used..
 
unayo mawazo ya kinyonge, kimasikini na utegemezi sana, kama binadamu, tunatakiwa tuchukulie challenges kama opportunities, kwa sasa Russia wataimarika zaidi na zaidi, changamoto walizo nazo sasa ni za muda mfupi na zitaenda kwisha. Baada ya madhara ya vikwazo hivi vya EU na NATO, hawataweza tena kuwahujumu kwa vikwazo kwa sababu Russia wameshatafuta mwarobaini
 
Inategemea una una export nini mkuu ..kama ni mafuta ,gas na chakula sactions hazikufikii Russia rupee imepanda thamani na kuipita dollar tangu wawekewe vikwazo. Libya under Ghadaffi , Iraq under Saddam and Iran mpaka leo wamewekewa vikwazo lakini wanadunda tu.
 
Mtu yuko Tandahimba hapo ambapo hata network ya simu inafika kwa rehema za Mungu, alafu anaichambua Urusi ambayo wanasayansi wake wanaenda kwenye muhimili wa dunia na kurudi kila leo, kama vile wanaenda kariakoo!

Kitu gani kinafanya udhani kuwa wewe uko informed kuliko yale majamaa yaliyoko pale Kremlin? Yani wewe mmatumbi mwenzetu uwe na vision kuliko Putin anaepewa briefing kila siku kuhusu taarifa nyeti kutoka pande zote za dunia?

Uhuru umetuzidia watanzania wenzangu!
"muhimili" wa dunia ndio nini mkuu?
 
Europe can not seriously sanction Russia wakati 70 percent ya mafuta wanayotumia na gesi karibu yote wanayotumia inatoka Russia mfano France gas yote ya nyumbani na viwandani inatoka Russia . mmfano walitaka kuiangusha Russia rupee lakini Putin akaamua ukinunua bidhaa yoyote kutoka Russia lazima ulipie kwa kutumia Rupee matokeo yake Rupee ikapanda na kuizidi dollar.... mtoto mchanga hawezi susa kunyonya bhana
 
Kuna warusi wenye akili sana lakini pia kuna warusi wajinga sana ambao ni wengi kama ilivyo mtawanyiko wa binadamu duniani. Hata kwenye nchi za West kuna wenye akili sana na vile vile kuna wajinga sana wengi; hata hapa kwetu tuna wenye akili sana na wajinga sana ni wengi. West hupata faida ya kuwa na wenye akili sana wengi kwa sababu ya uhamiaji, yaani wanachukua wale wenye akili sana kutoka nchi nyingine (brain drain) na kuongezea kwenye namba yao.

Putin kwa urusi siyo mmoja wa watu wenye akili sana; ni mtu wa kawaida au ni mmoja wa wale wajinga sana.
Na wanaomshabikia putin hawaelewi kuwa kuna tofauti kubwa ya Russia ya sasa na ile USSR. Russia ya sasa ni kama unavyoiona CCM na Tanzania hasa ile ya utawala wa JK.
 
Kwa hiyo china ikinunua ni sawa na nchi zote zilipokuwa zinanunua?
Nguvu kubwa ya soko la Gas na mafuta alikuwa anapeleka Ulaya. Leo tunaiponda Ulaya kwa kusema kuna mfumuko wa bei, ni vile kwamba hatujui kinachotokota ndani ya Russia sababu wao wameminya vyombo vya habari vyote kwa sasa.
 
Kuna warusi wenye akili sana lakini pia kuna warusi wajinga sana ambao ni wengi kama ilivyo mtawanyiko wa binadamu duniani. Hata kwenye nchi za West kuna wenye akili sana na vile vile kuna wajinga sana wengi; hata hapa kwetu tuna wenye akili sana na wajinga sana ni wengi. West hupata faida ya kuwa na wenye akili sana wengi kwa sababu ya uhamiaji, yaani wanachukua wale wenye akili sana kutoka nchi nyingine (brain drain) na kuongezea kwenye namba yao.

Putin kwa urusi siyo mmoja wa watu wenye akili sana; ni mtu wa kawaida au ni mmoja wa wale wajinga sana.
Ndugu yangu umewahi kusona historia ya Putin au unaongea tu? Putin kakulia KGB kafanya mission nyingi sana za KGB Putin alipotea Dunia akiwa mwanzoni mwa miaka yake ya ishirini alikuwa under cover KGB hadi alipoibuka akiwa middle age kama senior rank wa KGB alafu akawa anaiongoza KGB . Mtu mwenye akili ndogo hawezi ku archive hayo mambo. Kuongoza shirika la ujasusi la urusi sio mchezo especially kipindi cha cold war
 
Mtakuja na kila ngonjera kama vile bbc na cnn, haibadilishi wala haitobadilisha maana ya vita huko, wala haitobadili ukweli wa mambo ktk uchumi wa Urusi, Urusi anaendelea kuuza gas na mafuta na wateja wake wakitaka wasitake wanalipia kwa Rubbe, ww endelea na ngonjera zako huku ukijipa matumaini kuwa nato itashinda vita [emoji1787][emoji1787][emoji23]


Yaani mnaonyeshea kabisa ni watu mliokata tamaa kwenye hii vita hamjui mufanye nn, ni aibu kubwa sana iliowatokea mwaka 2022, mlizoea kwenda kuzionea nchi ambazo hazina hata air difence ila kwa Mrusi mnaogopa, yaani maumivu mnayoyapata usiku na mchana mnabaki na maneno mara dictator mara ujinga gani [emoji1787][emoji1787][emoji1787] cry more [emoji16]
 
Urusi hawezi pambana na Magharibi. Hawa Magharibi au 666, wakikuekea vikwazo katika dunia hii basi umekwisha. Biblia imewatambua katika Revelation (Ufunuo) 13:17. "Anawafanya wakuu na wanyonge, Kutonunua au kuuza bila ya kupokea chapa yao". Chapa usoni maana yake taifa kubwa (Russia) au dogo(Zimbabwe) likienda kinyume na mawazo yao HUTOBOI. Ogopa sana hao jamaa wa magharibi ishi nao kinafiki tu.
 
Nikwambie tu kaka Russia wako independent katika siasa, uchumi, jamii, kisheria hadi teknolojia wanajimudu na pia wana washirika wenye nguvu vile ambao wanaeza kufanya biashara nao. Inabidi utambue tu Urusi sio Zimbabwe ndio maana unaweza kuona umoja wa ulaya unawaekea vikwazo lakini wao ndio wanapata madhara makubwa
 
Kwa iyo unataka kutuambia wew una akili kuliko warusi wote including putiñ??maana hawajaingua hii vita uncalculated
Kitu kingine,mleta mada nani kamwambia Dunia ina revolve around Mataifa ya Ulaya na Merikani,hao ndio Alpha na Omega!!!

Ukweli wa mambo Dunia imebadirika sana - western Nation particularly Uncle SAM are no longer calling shots - hivi sasa mataifa yenye uwezo kiuchumi na kijeshi yameanzisha camp yao ya ku-challenge uwenda wazimu wa mataifa ya magharibi kujifanya wao ndio Miungu wa Dunia - kwa hiyo wana haki ya ku-slap punitive sanction kwa Taifa lolote ambalo wanalichukulia/ona ni tishio kiuchumi au kijeshi au yote mawili - cha ajabu wanalazimisha Dunia iungane nao kwenye crusade zao za kuhujumu washindani wao wa kiuchumi na kijeshi.

Bottom line is: The rest of the World have had enough ya ubeberu wa kundi hili ovu - binafsi nina imani kwamba Urusi na Uchina watakomesha ujinga huu, baadae Korea ya kaskazini, Iran na baadhi ya mataifa ya Latin Amerika watajiunga nao ili kukomesha ukoloni mambo leo unao kuwa propagated na mataifa ya magharibi.
 
mtoa mada kamezeshwa na west propaganda kuwa russia ni maskini uchumi wao unazidiwa na jimbo moja la texas etc ukweli ni huu uwez kupigana vita ya kiuchumi na nchi zaidi ya30 ukatoboa kama huna uchumi imara leo hii dunia imejionea yale yote yaliyokuwa yanasemwa kuhusu Russia dunaian kote vitu vimepanda siyo ulaya wala USA kwote hali ni mbaya bunge la bulgaria wamempigia kura ya kutokuwa na imani na waziri mkuu wao..Nakuachia swali mtoa mada kama Operation tu ndani ya Ukraine mambo yako ivi je Russia akisema atangaze vita kamili mambo yatakuaje.namalizia kwa kusema Uraaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom