Kama ukibadilishana simu na mpenzi wako........

GreatMkubwa

Member
Jun 25, 2012
99
57
If you are to exchange phones
with your partner, what would you
check first??? PUT A NUMBER
1 = Call history
2 = Sms
3 = Facebook inbox
4 = Whatsapp
5 = Airtime balance
6 = Photos and Videos
7 = How your name is saved
8 = Others (please specify)
 
Mambo ya zamani hayo hutopata mwanamke wa kihivyo...
 
Kwa nini mbadilishane simu? Unaweza kutumia simu ya mpenzi wako, lakini kubadilishana? Watu wakimtafuta je?
 
mimi sasa hv natumia simu ya demu wangu sijawahi kuikagua zaidi ya kuongeza Opera Mini ili niwe naingia JF
 
Back
Top Bottom