Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,038
- 9,353
Ripoti ya Profit and Loss inayoishia September mwaka huu, inaonyesha kuwa mapato ya TBL yameshuka.
My take:
Hii ni indicator iliyodhahiri kuwa mtaani hali ni mbaya.
Lakini ifahamike kuwa TBL ni mlipa kodi mkubwa, sasa kama hali yao nao inasuasua je hali ya kiuchumi nchini kwa ujumla ikoje?
Ni muda muafaka sasa serikali kuchukua hatua madhubuti kustabilize uchumi, la sivyo tutakwenda kwenye recession.