mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 94,077
- 132,547
Hiyo ni habari nzuri Tanzania inaelekea kuwa nchi ya wapiga kazi sio walevi. Na idadi ya vifo vinavyosababishwa na ulevi vitapungua.
Ripoti ya Profit and Loss inayoishia September mwaka huu, inaonyesha kuwa mapato ya TBL yameshuka.
Moderators msihamishe uzi huu:
My take:
Hii ni indicator iliyodhahiri kuwa mtaani hali ni mbaya.
Lakini ifahamike kuwa TBL ni mlipa kodi mkubwa, sasa kama hali yao nao inasuasua je hali ya kiuchumi nchini kwa ujumla ikoje?
Ni muda muafaka sasa serikali kuchukua hatua madhubuti kustabilize uchumi, la sivyo tutakwenda kwenye recession.
Na ndio walipa kodi wakuu Wa nchi.....
Naliona anguko kubwa la uchumi Wa Tanzania.....
Siku hzi tunakunywa Jibapa. Tukiwa watano tunachanga elfu 2 kila mtu tunavuta jibapa.
Njia mpya ya kubana matumizi.
Mwinyi amsifu magufuli kwa kazi na kasi yake ndani ya mwaka mmoja..
Huu ndo ule unafiki unaozungumzwa..
......hahahahaaaa....bapa kwa kwenda mbele,mzuka wa bapa na waini au john walker mlemle tu,wote tunayumba
Labda alienda kumuonyesha dereva sehemu za gari zilizoharibikaSijui kwanini napata hisia Mzee Mwinyi alikwenda Ikulu kulalamika kiwanja chake kimechakachuliwa na wajanja wa mujini ndio maana waziri wa ardhi akaitwa haraka Ikulu.Haya mambo ya kusifu ilikuwa zuga tu.
bajeti ya trilioni 27 imekuwa bajeti hewahii inamaanisha mapato ya kodi yaliyokua yamekadiliwa kwenye bajet yatapungua pia
Hiyo ni habari nzuri Tanzania inaelekea kuwa nchi ya wapiga kazi sio walevi. Na idadi ya vifo vinavyosababishwa na ulevi vitapungua.