usiniguse
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 1,724
- 1,188
Necta wanajua kazi yao siyo kama unavyofikiri,ndiyo maana shule za alliance zilifungiwa,hizi shule zenye kutiliwa shaka kipindi chote cha mitihani mwanzo mwisho anakuwepo afisa wa barazaKuna baadhi ya wanafunzi nawafahamu wametoka miongoni mwa shule hizi zinazoongoza kitaifa/form 4, wanapokuwa A level au hata chuo ukweli ni tofauti kabisa na ufaulu wao wa O level.
Hebu Wizara husika chukueni jukumu la kuwaita hao wanafunzi wa St. Francis wote na kisha just tafuteni utaratibu wa kuwapima uelewa wao usikute kuna mchezo mchafu, inatia shaka sana darasa zima kufaulu kwa pointi 7, hebu fuatilieni.
Sent using Jamii Forums mobile app