Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,987
- 20,272
huku kwetu tunasema URONGO(UHONGO) alishapoteza hizo sifa,maana ikulu itakua inaongozwa yule mama JR
Unatuthibitishia rasmi kuwa kumbe ikulu miaka yote ya Jk inaongozwa na mama Salma??
SALMA na JOSEPHINE ni watu tofauti sana kimantiki,nazani unamjua JOSEPHINE hulka zake,kama alitumia ID ya dr kutukana wanaJF kwa cheo cha dr tu ukatibu mkuu
Arudishe mke wa mtu kwanza! Ndipo tutamfikiria.
Kwa sasa Lowassa anatosha!
Mzinzi huyo hana maadili, kapora mke wa mtu kamweka kimada mpaka leo hii na kazaa nae nje ya ndoa.
Katelekeza watoto zake kwa hawara yake wa awali kwa ufuska, ataweza kuongoza wa wenzake?
Kajichotea fedha zetu za kodi kupitia chadema na kamjengea hawara nyumba eti kakopa! sasa kimekuwa chama cha siasa au saccos?
Kashindwa hata kuzifuata kanuni alizosomea za kanisa.
Hapati Urais nchi hii hata afanye nini, hilo utalikumbuka daima.
Vibabu marufuku ikulu

Mimii nadhani Tanzania inahitaji rais mwenye sifa za kuitoa nchi kwenye wimbi la umaskini na ufisad
Anaye faa kwa sasa simwingine ni Dr.Slaa........
Tunisia wamemchagua rais mwenye umri wa miaka 80, sio kwamba Watusi ni wajinga, bali wanaona mbele.
Wazee ni tunu ya Taifa. Busara na hekima zao ni nguzo imara kwa mustakabali wa Taifa letu.
Tz inahitaji damu kongwe katika kutoa mawazo na mchango wao wa kulisukuma gurumu la kimaendeleo. Kuishi kwingi ni kuona mengi na utu uzima dawa!! Dr Slaa ndo mkombozi wa kweli
Slaa hana hata sifa moja ya kuwa raia sio tu wa nchi, bali hata wa wanavikoba. Mtu gani hana plan ye kutwa ni kuibuka mara na nyaraka za siri, mara jazba zisifaa kwa umri wake,mara kupora mke wa mtu, mara kushindwa kuongoza hata kigango wakati ye ni padri! yaani ana vioja babu huyu ukichangia na umri wake, anaweza kuleta vituko kuliko hata vya Mugabe! Hivi akiwa rais; atakuwa anatuletea nyaraka za siri za kutoka nchi za nje au za ikulu humo humo!?