Kama Slaa, Migiro, Salim, Lowassa, Shein hawafai kuwa Rais; nani atatufaa 2015?

Unatuthibitishia rasmi kuwa kumbe ikulu miaka yote ya Jk inaongozwa na mama Salma??

SALMA na JOSEPHINE ni watu tofauti sana kimantiki,nazani unamjua JOSEPHINE hulka zake,kama alitumia ID ya dr kutukana wanaJF kwa cheo cha dr tu ukatibu mkuu
 
Mimii nadhani Tanzania inahitaji rais mwenye sifa za kuitoa nchi kwenye wimbi la umaskini na ufisad
Anaye faa kwa sasa simwingine ni Dr.Slaa........
 
Mzinzi huyo hana maadili, kapora mke wa mtu kamweka kimada mpaka leo hii na kazaa nae nje ya ndoa.

Katelekeza watoto zake kwa hawara yake wa awali kwa ufuska, ataweza kuongoza wa wenzake?

Kajichotea fedha zetu za kodi kupitia chadema na kamjengea hawara nyumba eti kakopa! sasa kimekuwa chama cha siasa au saccos?

Kashindwa hata kuzifuata kanuni alizosomea za kanisa.

Hapati Urais nchi hii hata afanye nini, hilo utalikumbuka daima.

Asalam aleykum dada kwa mtazamo wako nani anafaa..
 
Slaa hana hata sifa moja ya kuwa raia sio tu wa nchi, bali hata wa wanavikoba. Mtu gani hana plan ye kutwa ni kuibuka mara na nyaraka za siri, mara jazba zisifaa kwa umri wake,mara kupora mke wa mtu, mara kushindwa kuongoza hata kigango wakati ye ni padri! yaani ana vioja babu huyu ukichangia na umri wake, anaweza kuleta vituko kuliko hata vya Mugabe! Hivi akiwa rais; atakuwa anatuletea nyaraka za siri za kutoka nchi za nje au za ikulu humo humo!?
 
Yericko naafikiana na wewe. Kwa sasa Dr. Silaa anafaa sana kulivusha taifa hili kotoka kwenye mkwamo mkuu wa kiuchumi na kijamii. Bado tunahitaji kuona vijana wengi watakaokuwa "Potential Candidates" hapo ndipo namkumbuka Zitto na kumsikitikia kuwa papara zake zimemponza kwa kutaka yote kwa pupa! Kweli Zitto kajiharibia maisha yake na destiny yake kisiasa.

Naamini baada ya mageuzi ya mwakani 2015 kwa kuondoa mfumo wa utawala chakavu wa CCM tutakuwa na vijana wengi ambao watakuwa tayari kuchukua mikoba ya Mzee Slaa akihitimisha ngwe yake.
 
Vibabu marufuku ikulu

Tunisia wamemchagua rais mwenye umri wa miaka 80, sio kwamba Watusi ni wajinga, bali wanaona mbele.

Wazee ni tunu ya Taifa. Busara na hekima zao ni nguzo imara kwa mustakabali wa Taifa letu.

Tz inahitaji damu kongwe katika kutoa mawazo na mchango wao wa kulisukuma gurumu la kimaendeleo. Kuishi kwingi ni kuona mengi na utu uzima dawa!! Dr Slaa ndo mkombozi wa kweli
 
Mzinzi huyo hana maadili, kapora mke wa mtu kamweka kimada mpaka leo hii na kazaa nae nje ya ndoa.

Katelekeza watoto zake kwa hawara yake wa awali kwa ufuska, ataweza kuongoza wa wenzake?

Kajichotea fedha zetu za kodi kupitia chadema na kamjengea hawara nyumba eti kakopa! sasa kimekuwa chama cha siasa au saccos?

Kashindwa hata kuzifuata kanuni alizosomea za kanisa.

Hapati Urais nchi hii hata afanye nini, hilo utalikumbuka daima.

Hujawahi kuzini wewe? Usikute unaandika haya ukiwa unanuka "genye"
 
Mkuu Yericko! Ni uchambuzi mzuri sana.Big Up!

Hakika Dr.Slaa ndiye anayestaili kuikomboa hii nchi.

Wanaoupinga huu Uzi ni kwamba ama wachumia tumbo au uelewa wao tu ndo shida.

Kinachoangaliwa hapa ni "Public Interest " na sio "Personal Interest" Mambo ya mahusiano si kigezo cha kushindwa kuongoza nchi ingekuwa hivo malaya Bill Clinton wa marekani angefukuzwa.

Dr.Slaa Magogoni inakungoja
 
Tunisia wamemchagua rais mwenye umri wa miaka 80, sio kwamba Watusi ni wajinga, bali wanaona mbele.

Wazee ni tunu ya Taifa. Busara na hekima zao ni nguzo imara kwa mustakabali wa Taifa letu.

Tz inahitaji damu kongwe katika kutoa mawazo na mchango wao wa kulisukuma gurumu la kimaendeleo. Kuishi kwingi ni kuona mengi na utu uzima dawa!! Dr Slaa ndo mkombozi wa kweli

.... Mkuu, Watusi Wanaingiaje Tena Hapa, Au Unajisikia Tu Kutaja..!!!?
 
Slaa hana hata sifa moja ya kuwa raia sio tu wa nchi, bali hata wa wanavikoba. Mtu gani hana plan ye kutwa ni kuibuka mara na nyaraka za siri, mara jazba zisifaa kwa umri wake,mara kupora mke wa mtu, mara kushindwa kuongoza hata kigango wakati ye ni padri! yaani ana vioja babu huyu ukichangia na umri wake, anaweza kuleta vituko kuliko hata vya Mugabe! Hivi akiwa rais; atakuwa anatuletea nyaraka za siri za kutoka nchi za nje au za ikulu humo humo!?

..... Duuh, Njia Ya Mwongo Ni Fupi, Umesema Slaa Hawezi Kuwa Raia Wa Nchi Wala Vikoba.? Daah,
 
Nakubaliana na wewe slaa ni jembe si kwa kuwa rais kwa sifa muhimu zifuatazo
1.jasiri wa maamuzi kutoka kuukataa upadri na kuzaa na Rose kamili
2. Kumnyanganya mume mke wake mpendwa na kuzunguka naye nchi nzima bila woga eti mchumba
3. Kumteua demu wake Pareso kuchukua nafasi ya marehemu Regina wakati kwa mujibu wa list ya tume pareso hakustahili
Kwa sifa hizo slaa namkubali si kwa nafasi ya ursis
 
Kama sio Lowasa, i think January makamba angefaa sana nafasi ya Urais.
Na imani angeweza kukabiliana na changamotl zinazoikabili nchi.
 
Back
Top Bottom