Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
- Thread starter
-
- #41
Wewe ni mshamba FP kwani sikuhizi wanalia hata kulia??au kuzika kushika udongo??
Wewe usishangae mjini watu watakushangaa....watakukimbia bora ukae kimya!!:tape2:
- Wanavaa viatu vilefu
- Wanakuja na gari lakifahari
- Wanatoka na vitenge vya ghana
- Wantoka na miwani ya guchi au copacabana,au prada
- Masikio kifua kinasheheni kama mkongo yupo dancefloor
- Zinatengenezwa fulana za fubu,nike,nautica,nk
- Gari la kifahari lakubeba mwili
- Wabebaji wamevaa suti nyeusi shati jeupe na groves
- Msafara wa Benz
- Wanakodi watu wakuzika
- Contractor wa kujenga kaburi
- Wanakodi watu wakulia
- PA system/Nyuki DJs na masipika ya ukumbini au ya promotion
- Catering makaburini mambo nimengi siwezi kuyamaliza
- Makochi ya sofa ya world funiture
- Vikundi vya kuimba vya dini
- Wanapiga picha na Tablets (iPad)badala ya camera
- Video wanatumia vision eye
hiyo ilikuwa rambi rambi au mchango?
rambirambi ina minimum?
pole hiyo ndiyo habari ya mujini!!!:A S shade:mwenzangu kweli mimi ni mshamba, ngoja ni:shut-mouth:
sisi tulipofiwa na mama msiba ulikaa siku tisa na hapo watu wale usiku na mchana.ila tulichofanya sisi watoto wa mama tuligharamikia mazishi,jeneza,maua gari kila kitu hadi kumpumzisha my dear mamy wetu ila hayo mambo ya misosi huo ukoo uloweka msiba walikuwa wanajichangisha wenyewe tuliwapa tu eneo na sahani . na ngombe mmoja
labda......FP...miaka imeenda. Tuweke utani kando, kakangu alifariki 20 yrs ago. Nilikuwa mdogo kiasi. Sheria ilikuwa hakuna kuoga hadi siku ya matanga. Kwa vile tulikuwa watoto wa mjini tusiojua kulala bila kuoga, tulipelekwa kuoga kwa jirani kila jioni lakini walihakikisha hatubadili nguo za nje.
Mama amefariki 8 yrs ago. Cha ajabu, nyumbani kule kule lakini ndugu zetu walihakikisha tunapata maji ya moto ya kuoga asubuhi na jioni. Isitoshe na kubadili nguo daily. Hakuna alieangalia uvaaji wa hereni. Manake zamani msibani hata saa hatukuvaa.
ha haaaa, kazi ulikuwa nayo, lol!Hyo ni rambi rambi. Mchango wa wajomba nlitoa 30000.
hairuhusiwi kulia..ni kizunguzungu maeee ulishawai kuona mzungu anapiga mayowe maweeeeeeee uwiiiiiiiiiiiiiiiii hakunaga hizo silence sory for u a loss kwa mbaliii na cocktaillabda......
ila mimi sina uhakika kama kwa hili kwangu miaka itaenda.
kuoga sawa, lakini kwenda salon kubandika kope? utaliaje sasa na kope zako? au hazitoki zile?
labda......
ila mimi sina uhakika kama kwa hili kwangu miaka itaenda.
kuoga sawa, lakini kwenda salon kubandika kope? utaliaje sasa na kope zako? au hazitoki zile?
ha haaaa, hao unawachemshia maji mengi ya kunywa na ukijitahidi sana unapika ugali na mchicha au mchemsho wa dagaa wa mwanza bila kutoa vichwa
sisi kijijini kwetu ndo wanafanya hivyo.Nadhani inatakiwa sasa mtu ukienda msibani umpelekee mfiwa chakula!
ha haaaa, kazi ulikuwa nayo, lol!
sisi kijijini kwetu ndo wanafanya hivyo.
ukienda msibani unapeleka unga na kuku......
sisi kijijini kwetu ndo wanafanya hivyo.
ukienda msibani unapeleka unga na kuku......
sasa hayo ntayaweza best?hairuhusiwi kulia..ni kizunguzungu maeee ulishawai kuona mzungu anapiga mayowe maweeeeeeee uwiiiiiiiiiiiiiiiii hakunaga hizo silence sory for u a loss kwa mbaliii na cocktail