ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,973
- 3,906
Nimeona mambo ya uchumi wa nchi ya TANZANIA kuwa ni magumu, upinzani wanalalamika pesa hakuna, sasa kama kawaida yangu nimejaribu kufanya utafiti na kusample bank moja, nimekusanya receipt za watu katika ATM Zaidi ya 5 kwa muda wa siku kumi ,na nilipata Zaidi ya receipt 100.
Cha ajabu na cha kushangaza asilimia Zaidi ya 90 receipt zinaonesha salio ni chini ya laki 3, ama kati ya laki tatu na nne. Ina maana hata waliopokea mshahara haukai kabisa bank, au either bank wanakata kutokana na mikopo.
Hoja yangu ni moja na ni kubwa, yaani gepu la walionacho na wasiokuanacho inaonekana limetanuka sana, kwani kwa kautafiti change bank hiyo inasema ina deposit za TRillioni 6 wakati majority a wateja wao salio lipo chini ya laki tatu. Sasa theory yangu ni hivi, deposit nyingi za bank ni za watu wachache, either matajiri au majizi ya serikali. Unaweza kukuta asilimia 95 ya deposit za bank, ni za watu wasiofikia asilimia 0.5 ya wateja wote wa bank. Na hiyo asilimia 5 ya deposit zot ndo sisi walalahoi.
Hii Hali inatisha, pia nimefanya utafiti wa kutafuta details za wasanii wa bongo movie na bongo fleva na deposit zao bank , aisee wana hali ngumu mno, hawana kitu kabisa , wasanii wachache t undo wanadeposit angalau inayoeleweka.