Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,286
- 10,831
Mbunge ni muwakilishi wa wananchi hivyo inabidi achaguliwe na wananchi. Wananchi wanamchagua mtu ambaye wanajua anafanana na wao na anaweza kwenda kupeleka hoja zao bungeni.
Lakini kwa jinsi siasa zilivyo ni kama mtu anakuwa mbunge kwa huruma ya rais na sio kwa kura za wananchi. Kwa sababu hii suala la kupiga kura linakuwa ni uongo wa wazi. Mfano, hivi karibuni Rais akiwa Kigome amesema ana watoto wawili wanataka ubunge. Kauli yake ni kama anaamua nani awe mbunge.
Na kama hali ni hivi, basi mimi sitaki kupiga kura kwa kuwa viongozi mmeshawajua.