kama Nyerere Angerudi Ingekuwa hivi

Viper

JF-Expert Member
Dec 21, 2007
3,667
1,400
33721_121771237880838_100001438862157_151222_420823_n.jpg


EL sijui angechukuwa nagpi..?
 
Tena huyo anaetandikwa angetoka hapo makalio yanawaka moto,anastaili bakora za kutosha.
 
Mi ninauhakika kuna wengine angewaminya kende ili hatakizazi chao kisipatikane kabisa kama yule bwana mdogo wa mkulu,anastahili kabisa kunanilihu hizo kende coz anaona hii nchi kama kampuni ya babake!!
 
Kwli kabisa harafu na mimi ningemsaidia kuwalamba, na baada ya hapo angekufa tena jinsi nchi ilivyotafunwa na wa TZ tulivokondeana.
 
jamani mmeoa sura ya mkapa baada ya bakora.. mkwere anachukuwa zake.... EL inabidi aangaliwe vizuri anaweza hta akashindilia madaftari katika makalio...
 
jamani mmeoa sura ya mkapa baada ya bakora.. mkwere anachukuwa zake.... EL inabidi aangaliwe vizuri anaweza hta akashindilia madaftari katika makalio...

Hakawii huyo, manake jamaa ni mujanja kweli kweli.......
 
Hao waliokuwepo si ndio misingi yake hiyo, kwani hao ni matunda ya nani? Si ya miti aliopanda Nyerere?
 
Nyie vijana mna hatari. Miaka ya 70 havikuepo na kama mtu angechora ivo ungedhani ukweli. Technolojia bwn. Wengne wahoji mbona wengne hapo? Mwl akuwaacha,wamekuja baada yake kusafiri. Kama wale waarab mafisadi na wasomali. Nilichek picha nkasikia mwl.anacheka,kasema wee ndo nlikuwa nakutafuta! Nlikuambia u mdogo ukabishi sasa chombo ndo umeshazamisha!ukamuka anaefuata na nywele nyeupe awe mshauri mkuu,utanikoma! Ghafla mwl kashtuka akahoji na nyie wa mwisho wawili vp? Kwa hofi wakajibu Tumewasindikiza wasije kukutoroka maana bongo uliotuachia sio ile tena,bila kusimamiwa hawa watatoroka mboko!
 
Back
Top Bottom