PreGE2025 Kama ningekuwa kampeni meneja wa mgombea wa CCM ningehakikisha USHINDI wa asilimia 90+

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Posts
3,117
Reaction score
5,321
Binafsi Sina mashaka na uwezo wa CCM katika kushinda , ina uwezo mkubwa wa kushindana na kushinda tena kwa kishindo hivyo kama siku moja ningebahatika kuwa meneja wa kampeni za mgombea wa urais wa CCM ningemhakikishia USHINDI wa asilimia 90+ na angeupata kwa sababu:

1. CCM Ina wagombea wenye uwezo mkubwa wa kushindana na kushinda. Mgombea yeyote anayeletwa na CCM ana uwezo binafsi ambayo ndio sifa kuu katika ushindi nami ningeitumia sifa yake kuwezesha USHINDI wa kishindo.

2. CCM kinaamini katika ushindi na kinawekeza sana katika hilo kuanzia utekelezaji wa ahadi zake mpaka usimamizi ulio Bora kitu ambacho ni kipimo cha ushindi.

3. Huwa natamani kuona matokeo makubwa hivyo hii pia ni sehemu ya kuwezesha USHINDI wa kishindo kwa CCM.

4. Ningeinadi ilani ya uchaguzi ya CCM kwa namna ya kipekee yenye kushawishi.

5. Ningefanya kampeni shirikishi ambapo vyama vyote na makundi yote yangeshirikishwa na kutoa mawazo yao
 
Uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka jana CCM ilishinda kwa 98%😁
 
Kwanini isiwe 100 kabisa? Mna kila kitu hadi matokeo kabla ya uchaguzi
 
Attachments

  • 5fb4451c9a97eaadef571881ca35a703_1749332892775.mp4
    13.2 MB
Mwilapa my classmate T88 unasoma habari kwenye mitandao ?
Huoni kwamba umaarufu wa CCM kwa sasa uko at its lowest?
Haki ikitumika hata TADEA inawatoa madarakani.
 
Uchaguzi ni namba na CCM siku zote inahakikisha namba yake ni nzuri
 
Binafsi Sina mashaka na uwezo wa CCM katika kushinda , ina uwezo mkubwa wa kushindana na kushinda tena kwa kishindo hivyo kama siku moja ningebahatika kuwa meneja wa kampeni za mgombea wa urais wa CCM ningemhakikishia USHINDI wa asilimia 90+ na angeupata kwa sababu:

1. CCM Ina wagombea wenye uwezo mkubwa wa kushindana na kushinda. Mgombea yeyote anayeletwa na CCM ana uwezo binafsi ambayo ndio sifa kuu katika ushindi nami ningeitumia sifa yake kuwezesha USHINDI wa kishindo.

2. CCM kinaamini katika ushindi na kinawekeza sana katika hilo kuanzia utekelezaji wa ahadi zake mpaka usimamizi ulio Bora kitu ambacho ni kipimo cha ushindi.

3. Huwa natamani kuona matokeo makubwa hivyo hii pia ni sehemu ya kuwezesha USHINDI wa kishindo kwa CCM.

4. Ningeinadi ilani ya uchaguzi ya CCM kwa namna ya kipekee yenye kushawishi.

5. Ningefanya kampeni shirikishi ambapo vyama vyote na makundi yote yangeshirikishwa na kutoa mawazo yao
INEC tayari wanayo matokeo atashinda kwa 99.9 %, ndiyo maana wote wenye akili timamu hawatapoteza muda wao kupiga kura.
 
Bibi amejizolea dhambi nyingi, na sasa ameona ni heri afurahie mambo ya dunia hii, akiyasahau ya uzima wa milele; lakini imeandikwa, ‘Mtu akipata faida yote ya ulimwengu, na akapoteza nafsi yake, atafaidi nini?’ (Marko 8:36).
 
Wapi
Binafsi Sina mashaka na uwezo wa CCM katika kushinda , ina uwezo mkubwa wa kushindana na kushinda tena kwa kishindo hivyo kama siku moja ningebahatika kuwa meneja wa kampeni za mgombea wa urais wa CCM ningemhakikishia USHINDI wa asilimia 90+ na angeupata kwa sababu:

1. CCM Ina wagombea wenye uwezo mkubwa wa kushindana na kushinda. Mgombea yeyote anayeletwa na CCM ana uwezo binafsi ambayo ndio sifa kuu katika ushindi nami ningeitumia sifa yake kuwezesha USHINDI wa kishindo.

2. CCM kinaamini katika ushindi na kinawekeza sana katika hilo kuanzia utekelezaji wa ahadi zake mpaka usimamizi ulio Bora kitu ambacho ni kipimo cha ushindi.

3. Huwa natamani kuona matokeo makubwa hivyo hii pia ni sehemu ya kuwezesha USHINDI wa kishindo kwa CCM.

4. Ningeinadi ilani ya uchaguzi ya CCM kwa namna ya kipekee yenye kushawishi.

5. Ningefanya kampeni shirikishi ambapo vyama vyote na makundi yote yangeshirikishwa na kutoa mawazo yao
Wapi huko

Labda kizimkazii sio huku bara
 
Back
Top Bottom