Kama ningekutana na Sheikh Makaburi na Aboud Logo

Nimesikiliza leo hii jioni mawaidha ya sheikh mmoja kwenye TV nikiwa hapa Mwanza. Anasema wanawake wa kiislamu wanaovaa hijabu ni watamu sana kulinganisha na (kwa mujibu wake) wale "wanaoacha vichwa vyao kama nyoka na makwapa wazi"!

Je huu ndio msingi wa maoni yako?
ushawahi kujiuliza kwa nini wamama watu wazima wanapenda kujifunika vichwa vyao au kwa nini msibani wanawake wengi huwa wanafunika vichwa vyao hata kama sio waislamu ?basi mwanamke anatakiwa'awe na stara hata wewe (japo sijajua jinsia yako)kama mwanaume sidhani ungependa uwende kwa wazazi wako au watu unaowaheshimu ukiwa na mkeo kavaa nguo ambayo ufito wachupi aliovaa ndani unaonekana!!!na suala la kuwa mtamu sijaua mtamu kivipi hujafafanua.
 
Siungi Mkono mauaji ya Mtu yoyote bila ya kufuata misingi ya Sheria.

Kama leo tutaunga Mkono mauaji yake kwa kuwa tu ni Mshukiwa wa Ugaidi basi kesho tutakuwa Wanafiki ikitokea Al shabab nao wataua Watu wanaowashuku kuuwa ndugu zao.

Lazima tuepuke Double Standard kwa kukemea Mauaji dhidi ya watu wasio na Hatia wakiwemo wanaushukiwa ni magaidi kwa kuwa bado hawajawa Convicted na Mahakama za Nchi husika.

mungu hakuzidishie busara ,Hekima na kila lenye kheri, Naungana na we kwa % zote yaan!
 
Nashangaa kwanini watu wanapenda dini kuliko MUNGU.
baada ya kutuumba m'mungu ametuwekea utaratibu wake,huo utaratibu ndio dini.ndio maana tunafanya mengine sio tunapenda lakini utaratibu ambao yeye mwenyewe m,mungu ameuweka na kama tunampenda kweli lazima lazima tufuate aliyotuwekea.hata kama nafsi zetu hazipendi,mf.kutoa dhaka,kuamka alfajri kwenda kuswali,inapofika mda wa swala kuacha yako na kwenda kuswali,ni mambo magumu ila kwa vile tunampenda mungu basi lazima tufanye.
 
hatutumii nguvu nyingi ila sisi hatuogopi kufa kwa ajiri ya mambo ya dini sasa nadini sisi ndo muongozo wetu,hivyo vikifanyika vitendo vya kuidharau au kuidharirisha dini yetu hapo ndipo tunapokuwa wakali na sisi si mnajua hatuogope kufa kwa ajiri ya mambo uadini!?na tumeambiwa tusidhurumu wala tusikubali kudhurumiwa.na tumeruhusiwa pia kulipa kisasi kwa yule aliekuonea.

Hang'olwa acha hizo wewe kila mtu anajua kuua siyo mkristo wala muislamu angalia Nigeria na Central Africa.. kikubwa ni kuheshimiana tuu kwenye maswala ya kiimani na kuvumiliana kama Tanzania.
 
Majibu yamepatikana Kanisani kwa watu 6,,,,Bwahahahahaha uwa Mbwa hao kwanza hawana hata dini kazi kulawiti watoto tu na kuoana wenyewe kwa wenyewe kanisani.
 
Hang'olwa acha hizo wewe kila mtu anajua kuua siyo mkristo wala muislamu angalia Nigeria na Central Africa.. kikubwa ni kuheshimiana tuu kwenye maswala ya kiimani na kuvumiliana kama Tanzania.
sipingani nawe ,ila inapotokea jamii moja inajiona inastahiki zaidi kuliko jamii nyingine katika kitu ambacho wote wanastiki sawa hapo ndipo panapozuka malalamiko na matatizo,lakini kama tutasikiliza kila upande tunapohisi malalamiko na tukajadilia kwa hoja za wazi,wala hamna atakae hata kufanya vurugu,ila kama kinyume chake.itakuwa shida sana maana uonevu una mwisho,hata hivyo hata mtaani mtu mwingine hawezi kujifunza mpaka umrudishie ulivyokufanyia ndo anaelewa .
 
Thank u mkuu hata kama tuna imani tofauti ila elimu yako ya hapa jf imenifanya tuamini kitu kimoja mungu tu.

Siamini kuuwa watu wasiokuwa na hatia eti vitabu vya mungu vimeelekeza hata kidogo.
 
abuu rogo na shehe ilunga kwahakika hawatutakii mema katika dunia ya leo. hawa ni wajenzi wa chuki za kidini na ukhasama katika nchi yetu. fikiria shehe ilunga anapochochea watu wasihesabiwe mpaka watakapohesabiwa kwa misingi ya dini. hivihii inaingia akilini kwa nchi ianyotka kujenga jamii moja. p[ili eti akiuawa muislamu ni mujarabu kwa waislamu kuua mchungaji au askofu. kwakweli hotuba ya shehe ilunga ni ya kishetani ya kuchochea visasi baina ya watu wa dini mbili. sasa kauawa mtu mwi ngine wao wanachochea auawe mtu mwingine eti kwakuwa antoka dini moja na yule aliyeua.hivi hizi ndo ilimu ak'hera au ilimu jehamu????????????????
 
We mwehu nn wanavyouliwa Waislam unaona sawa tu?
 
kufa kwetu si adhabu ni ahadi ambayo tunajua,tutakufaje kwa bunduki,mabovu au vingine vile we don't know,we don't care, we don't fear,we don't scare.

Yaap all terrorist will be wiped out. Kama hamuogopi kwanini mnajificha kama cowards? Why don't you man up and fight in the cause of a diabolical demigoddess Allat? Come out of the hyena holes and fight, what are you waiting for?
 
Watu kama hao kina makaburi nawashauri wahamie Tanzania kidogo tunauvumilivu wa kijinga. Mwenzake Ilunga anadunda tu mtaani. Ila kwa Kenya, aisee wataisha wote. Polisi wa kenya (na ndio wamemuua) hawana muda wa masihara na sasa hivi raisi wao Uhuru ni bange mtu sidhani kama ana muda wa kuendekeza ujinga, atawamaliza.
 
Njia inayotumiwa na serikali ya kenya kuwaua viongozi wa dini ya kiislamu kwa stail hii HAIWEZI KUTATUA TATIZO bali inaongeza chuki dhidi ya serikali hata kama serikali itakataa kuwa haihusiki(na hakuna siku watakubali).

Wale wanaowaua ni viongozi ambao wana influence ndani ya jamii, kwa hiyo kuwaua kinyama namna ile ni kujenga chuki baina ya wafuasi wa hao viongozi dhidi ya serikali.

Ikiwa kenya inadai ni nchi inayofata utawala bora, kwa nini isiwafikishe hao wanaowatuhumu katika vyombo vya sheria ili sheria ifate mkondo wake? Kutowafikisha kuna jenga dhana kwamba serikali ya kenya imekosa ushahidi usio na shaka kuwa hao wanaowatuhumu kweli wanajihusiaha na ugaidi.

Serikali ifahamu kuwa kwa sasa hali ilipofikia ni lazima serikali ijenge daraja baina ya viongozi na hawa na wananchi na si kujenga ukuta kwa kuwaua viongozi wao. Serikali ikae na viongoz wa waislam kutafta suluhu bila ya hivyo kina makaburi na rogo wengi watazalishwa kila siku.

KUUWA SI SULUHISHO
 
Laiti wenzako wangekuwa na akili na uelewa kama wako wala tunayoyaona kwasasa yasingekuwepo!
 
baada ya kutuumba m'mungu ametuwekea utaratibu wake,huo utaratibu ndio dini.ndio maana tunafanya mengine sio tunapenda lakini utaratibu ambao yeye mwenyewe m,mungu ameuweka na kama tunampenda kweli lazima lazima tufuate aliyotuwekea.hata kama nafsi zetu hazipendi,mf.kutoa dhaka,kuamka alfajri kwenda kuswali,inapofika mda wa swala kuacha yako na kwenda kuswali,ni mambo magumu ila kwa vile tunampenda mungu basi lazima tufanye.
Hilo neno (bold) ndio nini? Ndio kwanza naliona hivyo sijaelewa unazungumzia nini.
 
abuu rogo na shehe ilunga kwahakika hawatutakii mema katika dunia ya leo. hawa ni wajenzi wa chuki za kidini na ukhasama katika nchi yetu. fikiria shehe ilunga anapochochea watu wasihesabiwe mpaka watakapohesabiwa kwa misingi ya dini. hivihii inaingia akilini kwa nchi ianyotka kujenga jamii moja. p[ili eti akiuawa muislamu ni mujarabu kwa waislamu kuua mchungaji au askofu. kwakweli hotuba ya shehe ilunga ni ya kishetani ya kuchochea visasi baina ya watu wa dini mbili. sasa kauawa mtu mwi ngine wao wanachochea auawe mtu mwingine eti kwakuwa antoka dini moja na yule aliyeua.hivi hizi ndo ilimu ak'hera au ilimu jehamu????????????????
Mkuu tatizo like hapo, jamii moja ila kundi moja linakandamiza jengine, na hilo linakandamizwa halina haki ya kusema, wanaposema tu huitwa wadini. Shehe Ilunga shujaa kweli kweli, amethubutu kusema na amesikika
 
Back
Top Bottom