Kama Nikifa leo hii 31/12/2013

Elli hii ndiyo nini jamani,
Unataka watu wazima tulie.

Na mimi kwa Mamlaka niliyopewa na Kanisa langu la KKKT
Nakuhakikishia kwa Jina la Yesu Kristo wa Nazareti Aliye Hai
kuwa hautakufa hadi ufikie umri mtimilifu.

Mamdenyi wewe ni wa upande wa mamvi?
 
Last edited by a moderator:

Amen mkuu (japo nimevamia thread)!
 
Last edited by a moderator:
No No No usiseme hivyo, nimeandika kwa kila mtu hao ambao nimewataja wanatuwakilisha wote. MUNGU akubariki uzidi kutoboa siri kwa manufaa yetu sote hahahahaaaa Thanks
Amen mkuu (japo nimevamia thread)!
 
Elli nilijua nafunga mwaka na mpenzi mpya kumbe mashine ya CYBERTEQ imenoki.

Hahahhaa, na hilo umbo la kibantu halisi nitaishia kumeza mate tu, huku na huku ukizama kwenye kapitura unakuta ndiyo kwanzaaa kibamz kimeuchapa...teh teh! Elli ushatimiza lengo lako la kuniaibisha mbele za watu mpwa!
 
Last edited by a moderator:
Hahahhaa, na hilo umbo la kibantu halisi nitaishia kumeza mate tu, huku na huku ukizama kwenye kapitura unakuta ndiyo kwanzaaa kibamz kimeuchapa...teh teh! Elli ushatimiza lengo lako la kuniaibisha mbele za watu mpwa!

Huu ubantu hata usikutishe, be flexible hata vidole vinarusha maji...
Mie nimefundwa ntakutunzia hii siri milele na milele.
 
Last edited by a moderator:
Barikiwa Elli maana katika yote uliyoomba yapo mengi ni hitajio la moyo na maisha yangu. Mungu asikie dua ya maombi yako na akayajibu kwa wale wote wahitajio nikiwemo mimi. AMINA. HERI YA MWAKA MPYA 2014 Elli pamoja na JF members wote.
 
Last edited by a moderator:
Amen amen, asante sana kwa kuelewa vizuri nilichokiandika, MUNGU akakujibu haja ya moyo wako
Barikiwa Elli maana katika yote uliyoomba yapo mengi ni hitajio la moyo na maisha yangu. Mungu asikie dua ya maombi yako na akayajibu kwa wale wote wahitajio nikiwemo mimi. AMINA. HERI YA MWAKA MPYA 2014 Elli pamoja na JF members wote.
 
Elli ndugu yangu leo umeniliza, frankly speaking.

Nimekosa cha kusema...ila kwa neema zake Mungu wote tutafika 2014 na tutamshangilia Mungu kwa hilo, including you.
Mameno yako ni dhahiri na hakika. Though hakuna habari ya kubeba taji wala jeneza, bado Mungu anakuhitaji umtumikie.

HAVE FAITH
 
Last edited by a moderator:

Amen Amen ndugu yangu mpendwa, yaani huwa nawaza life after death.....jinsi mtu anavyowamisi ndugu na rafiki zake. Mmhhhh basi Mpwa
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…