Huyo mke ntakubali aliwe tukigawana namuacha ntakuwa napasha kiporo tu..π
Tz kuna magazeti mengi utaandikwa mpk ujihisi ikitoka herufi Z unafata wewe..!
Nitajadiliana na wife; kama akikubali who am I to say No? Maana nikimkatalia anaweza kwenda kuliwa kwa nusu bei..
Dili likikubali tunagawana kila MTU apate mgawo wake kisha tunajadiliana namna nzuri ya kulea watoto wetu kila mtu akiwa anaishi kwenye Mansion yake..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuvumilia kuchapiwa unafikiri ni jambo jepesi..?Kumbe wewe sio mvumilivu kabisa, siku moja tuu inakushinda... looh aahahahhahaaaaa.
Kuvumilia kuchapiwa unafikiri ni jambo jepesi..?
Hujui kwetu sisi wanaume tunataka cha kwetu peke yetu,sisi ni watawala Sasa jimbo limeliwa na ninajua si itakuwa tabu hiyo na mlivyo nazarau sipati picha michambo yake...
Sasa huyo babu Mimi kijana huoni vitu viwili tofauti hapo..?
Mi siwezi vumilia hata nibaki kizee cha miaka ya mapengo..π
Mi niko poa na si tu unitakie ufanisi Bali ufanisi wenye umaridadi ndani yake...πAahahahahaa basi ujiandae kukosa kula mema ya nchi, na kuufikia uzee itakuwa kwa mbinde.
"Imeandikwa, kwa Mtini mjifunze......"
Umenifanya nikumbuke msemo wa "watch out" aahahahahhaaa.
Uko poa lakini?
Nikutakie wiki njema yenye ufanisi.
π π π π π π π πWatu wenyewe wanapigwa bure tu na wapaka rangi za vidole,madreva toyo,ofsini
Mi niko poa na si tu unitakie ufanisi Bali ufanisi wenye umaridadi ndani yake...π
Siku nikikamatwa ntakutaja ukiwa kama mchochezi wangu namba moja.. we subiri kwa spidi hii huu mwaka sidhani kama utaisha bila kumtia mwanafunzi mimba..πNaongezea na juhudi na bidii na kujituma teleee.
Na kila asomaye aseme Aaameeen!!
Siku nikikamatwa ntakutaja ukiwa kama mchochezi wangu namba moja.. we subiri kwa spidi hii huu mwaka sidhani kama utaisha bila kumtia mwanafunzi mimba..π
Potelea mbali!Shindwaaaaaaaaaa
Huyo mwanafunzi ujue ni mdogo wako ambae hujatambulushwa kwa mama mwingine..... Shauri yako...
Siiimooooooooo...
Potelea mbali!
Wanasema binamu nyama ya hamu..π
Dawa ni kutomfuatilia mtu.... Binadamu hachungwi. Na hata ukichapiwa kwani lile shimo linajaa?? Sasa kama halijai tabu iko wapi? Raha jipe mwenyewe.... Ukihisi unachapiwa we unauchuna tu, nawe unatafuta michepuko yako unatuliza nafsi kiroho safi kabisa...Wee dawa yako ukorogewe na kunyweshwa nshutama. Wivu wote unakuisha aahahahahaaa.
Muulize Babu Asprin anawezaje kuvumilia...
Hayo maneno yalitoka kwa wahenga wenzako Sasa nashangaa huyataki kwani walikosea wapi..??πKhaaaaa..... hufai wewe kulumangia kwa ugali wala kachumbari aahahhahaaa.
Hizo nyama pambana nazo mwenyewe...
Khaaaaa..... hufai wewe kulumangia kwa ugali wala kachumbari aahahhahaaa.
Hizo nyama pambana nazo mwenyewe...
Kasie huyu ndo BABU..?????Dawa ni kutomfuatilia mtu.... Binadamu hachungwi. Na hata ukichapiwa kwani lile shimo linajaa?? Sasa kama halijai tabu iko wapi? Raha jipe mwenyewe.... Ukihisi unachapiwa we unauchuna tu, nawe unatafuta michepuko yako unatuliza nafsi kiroho safi kabisa...
Maisha haya kufuatanafuatana ni kujitafutia kifo. Kwanini ujitafutie kifo cha mateso wakati mdudu Corona yupo?
Baaasi... nimemaliza
Nakusalimia laazizi, mchepukaji mwenzangu, nyonga mkalia ini mahabuba wangu. Leo nakuletea limbwata unichanganyie na yale majani nipige nyungu afu tuendelee na pale tulipoishia
View attachment 1453187