kama ni kweli Situmii tena Condom !

kama ni kweli Situmii tena Condom !

k-star

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
541
Reaction score
392
Condom ikianikwa kipindi cha jua kali inaonesha funza wadogo wadogo wanatembea ktk condom hiyo. Karibuni sana wadau
 
yasemekana condom ikianikwa kipindi cha jua kali inaonesha funza wadogo wadogo wanatembea ktk condom hiyo. Karibuni sana wadau

Asante sana Braza......
 
yasemekana!mi nilidhani ungekuja na hitimisho kuwa ni kweli au la mbona ni jaribio ndogo tu ambalo hata we binafsi ungeweza kulifanya?
 
Du! We umejaribu au umelishwa tangopori nawe unakuja kutuwekea huku?
 
kusingekuwa na condom na huu ukimwi ungekuwa ulishakufa zamani na tumekusahau
 
Si ujalibu mkuuu!
Ukipata jibu urudi jukwaani kututhibitidhia.
 
kama contamination ipo lazima itokee , hukuitunza hiyo condom na wewe usipojitunza funza wanakuja tu
 
Mbona hata kitimoto ukiweka juani ukamwagia na mafuta ya taa funza wanatoka c ujaribu!!?
 
Condom ikianikwa kipindi cha jua kali inaonesha funza wadogo wadogo wanatembea ktk condom hiyo. Karibuni sana wadau

Umefanya hii experiment na ukaona matokeo yake au umesimuliwa? Basi kwa taarifa yako mimi nimefanya hii experiement kwa mara ya kwanza mwaka 2006 nikiwa nafanya research ya UKIMWI mhimbili na matokeo ya hiyo research, bosi wangu wa research aliyapublish hapa: http://ir.muhas.ac.tz:8080/jspui/bitstream/123456789/113/1/1-s2.0-S0277953612005497-main.pdf.
Soma hii article kwa umakini ndiyo utafahamu ukweli wa hii habari. Fanyeni tafiti msipende kufanyia kazi rumors.
Kama hii article haitafunguka nitumie email yako nitakutumia kwenye private email.
 
Back
Top Bottom