Iselamagazi
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 6,083
- 6,234
Hivi hii inahusiana nini na thread hii?
Hivi hii inahusiana nini na thread hii?
ukisoma maelezo ya matumizi yake hakuna sehemu imeandikwa unatakiwa kuianika juani. wewe kwanini unaiweka juani?
Condom ikianikwa kipindi cha jua kali inaonesha funza wadogo wadogo wanatembea ktk condom hiyo. Karibuni sana wadau
Condom ikianikwa kipindi cha jua kali inaonesha funza wadogo wadogo wanatembea ktk condom hiyo. Karibuni sana wadau
Umefanya hii experiment na ukaona matokeo yake au umesimuliwa?
Nina wasiwasi ulikuwa una re-use hiyo kondomu,ndiyo maana maziwa yalioza funza wakatoka.
sawa kabisa! achana na kondom vaa rambo k-star
Hujasoma kwenye discussion; hii ni mojawapo ya statement niliyotohoa kutoka huko kwenye hiyo article:Mh. Lukolo, mbona hiyo si experiment, ila ni tafiti ya kuhoji watu ambayo ilioonyesha kuwa watanzania wengi wa vijijini ni makanjanja kwani wanaamini kuwa kondomu zina minyoo na zinasababisha VVU, hivyo elimu kwa umma inahitajika zaidi.
.When meeting with local leaders about an HIV prevention
program, we left condoms in the sun for later inspection. Postmeeting
inspection revealed that condoms did not grow worms,
effectively beginning the process of debunking the worms rumor in
that community