Kama ni kweli, ni picha gani unapata hapa??

Hii dunia hata haifai tena,

Kwa wale tuliokatisha karne hizi 2 kweli tumeona mengi ila haya yanayojitokeza sasa hivi hata hayaelezeki!!

Itabidi tutafute jina jingine ila naona wimbi la wanaume suruali linazidi kushika kasi.......

Kule kwetu mwanamume wa namna hii angeitwa kwenye kikao cha watu wazima (ME na KE) na kucharazwa viboko hadharani...!

Ila huyo dada naye anatakiwa kujua kuwa huyo ama ni mke mwenzake au yeye anachukuliwa kama mume mwenza kwenye hiyo ndoa. Kama anaweza kuendesha familia, basi anaweza kupeleka mahari kesho na kujipatia kitu kipya...

Sijui Da Sophy anasubiri nini!!
KWeli kabisa kamanda, tena tumuongeze hapo na shemeji mtu kabisaa, yaani wote ni kuchabangwa mboko m@takoni
 
KWeli kabisa kamanda, tena tumuongeze hapo na shemeji mtu kabisaa, yaani wote ni kuchabangwa mboko m@takoni

Kweli mkuu,

Kwa Da Sophy kukubali kupakiwa mshikaki kama boda boda naye anastahili kupewa chai aiseee!!
 
ni kweli swahiba, niliogopa tu kusema kwamba huyo demu naye zezeta maana siku hizi watu wako very gender sensitive
nimeshangaa kweli, halafu huyo dada naye anataka ushauri wakati writings are on the wall, kwamba its a dumb and dumber relationship

WTF.... hebu ngoja nipate mneli kabisa maana ntavunja haka kamachine ka watu

...kamanda, hivi umegundua wanawake wasomi na wenye nafasi zao kijamii, wengi wao wana suffer domestic abuses compared na wale waliokimbia 'umande?'...au weye waonaje? inachangiwa na nini hii?

hapana, sitaanzisha mdahalo huo.

Eh watu wamekuwa wakali mwe! Jamani mnisamehe tu bure but haya ni sehemu tu ya yanayojiri katika mapenzi na mahusiano. Msipovuke sana

Oooopppsss, samahani mwj1....sikukusudia kwa ubaya, ni uchungu tu ulinipitia kwani kisa hiki kimenikumbusha
kisa fulani nilichohadithiwa mwezi septemba nikiwa safarini baina ya serengeti na ngorongoro...

uwe na amani.
 
MTM...hapana kamanda...kuna wanawake wajinga pia...hasa huyu!
"msukule"

...ni dhahiri haya matatizo ameyalea miaka nenda rudi,...
leo hii amepewa ratiba ya call centre, ati naye rohoni hasa
anaumia? khaaa?????????? can't she tell she's being abused?
"msukule"

kwani ni lazima wawasiliane na simu? e bana mimi mwenzenu roho yangu
ishaingia kutu... hii kitu kubembelezana aisee NEVER AGAIN....pheeeww, ujinga mtupu!

...sijaupenda kabisa mdahalo huu mwj1...najuta kuharibu mapumziko yangu jioni hii..
huyo shoga yako ni "msukule" tena wa kujitakia!
Hahahaha! Mbu dah sina mbavu nimecheka kweli kweli dah eti "Msukule" kama alivyosema MTM wengine imebidi tuwe gender sensitive ila hii ya "Msukule" imeniacha hoi aisee
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
nimeshangaa kweli, halafu huyo dada naye anataka ushauri wakati writings are on the wall, kwamba its a dumb and dumber relationship

WTF.... hebu ngoja nipate mneli kabisa maana ntavunja haka kamachine ka watu
Cousin wewe na Mbu mmeniacha hoi kweli Dumb and Dumber relationship...lol
 
Hahahaha! Mbu dah sina mbavu nimecheka kweli kweli dah eti "Msukule" kama alivyosema MTM wengine imebidi tuwe gender sensitive ila hii ya "Msukule" imeniacha hoi aisee

...mnh, we acha tu bana...maana hata remote control kuna kipindi inagoma kubadilisha channel, iweje mwanadamu
afanywe kama kikarikenya cha Joyce wo wo wo? --- unakikumbuka miaka ile?, au ulikuwa haujazaliwa,...lol!
 
...mnh, we acha tu bana...maana hata remote control kuna kipindi inagoma kubadilisha channel, iweje mwanadamu
afanywe kama kikarikenya cha Joyce
wo wo wo? --- unakikumbuka miaka ile?, au ulikuwa haujazaliwa,...lol!

Joyce wowowo??? kheheheeeeeeeeeeeee... ngoja nisepe
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
...kamanda, hivi umegundua wanawake wasomi na wenye nafasi zao kijamii, wengi wao wana suffer domestic abuses compared na wale waliokimbia 'umande?'...au weye waonaje? inachangiwa na nini hii?

Halafu huu ni mjadala mwingine, Mbu unachosema ni kweli nina mifano mingi kuhusiana na hili lakini i will reserve my comments wadada humu wasije nitia vidole machoni bure
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

...mnh, we acha tu bana...maana hata remote control kuna kipindi inagoma kubadilisha channel, iweje mwanadamu
afanywe kama kikarikenya cha Joyce wo wo wo? --- unakikumbuka miaka ile?, au ulikuwa haujazaliwa,...lol!
Lol...Mbu Kikarikenya nakumbuka sana maana kile kilikuwa unawekwa mziki halafu kinachezeshwa jinsi mwenye nacho anavyopenda
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
huyo lazima takua mwanamme suruali huyo loh! ningekua mm ningemuacha zamani mnoooooooooooooo ...........potelea mbali loh! asinipumzikie mm loh! maisha yenyewe mafupi ivi ............
mwambie hata aijiumize kichwa zaidi asonge mbele loh! mana hana mume bali mzigo wa misumari
 
kuna mengi yamejificha juu juu ya hiki kisa...sio hivi hivi...sharti kama hilo haliwezi kutoka siku moja....hebu muulize huyo rafiki yako akueleze ili kama unatoa ushauri ujue kwa undani ....ukibeba ushauri wa hapa jf the ukamshauri sidhani kama itakuwa ni njema....

otherwise she will be living in the captivity of negativity....kitu amabacho sicho kizuri kabisa
 
kama mie ningekua huyo Suzzie basi ningeomba likizo ya siku mbili tu ta alhamisi na ijumaa halafu nakuja tz bila taarifa sababu ni kwangu then nione kuna kitu gani kinaendelea sababu ndoa ni kitu kizito ati.
 
Back
Top Bottom