We we piga box huko...ya huku tuachie. Kaungane na mm mwanakiji muendelee kumpigia debe Faru JohnNianze kwa kusema tu kuwa mimi ni mbeba maboksi nisiyejua mengi hususan kwenye hiyo fani ya 'wasomi' wabobezi [wanasheria] ambao ndiyo majiniasi wetu wenye kuongea Viingereza hatari lakini salama. Nimeishia kidato cha nne tu. Kwa hiyo msinihoji sana kuhusu elimu yangu. Ni ndogo sana.
Sasa hapa nilipo na ujinga wangu huu najiuliza maswali kadha wa kadha na sipati majibu.
Hivi kinachodaiwa dhidi ya Makonda ni kosa la jinai?
Kama ni kosa la jinai na kama kweli ushahidi upo, tena ambao ni wa kutosha na kuridhisha kabisa, kwa nini hao watu waolizitoa hizo tuhuma hawaendi kumfungulia kesi mahakamani?
Au haiwezekani kwa raia kwenda kufungua kesi mahakamani kwa manufaa ya umma dhidi ya kiongozi?
Manake mpaka sasa kilichopo au niseme ambacho nakijua mimi kupitia hii mitandao ya kijamii ni maneno tu kuwa Paul Makonda si jina lake halisi.
Jina lake halisi ni Daudi Bashite. Lakini sijaona ushahidi wowote ule uliotolewa na hao watuhumu unaothibitisha hizo tuhuma zao.
Sasa maneno tu peke yake si ushahidi wa lolote maana mtu yeyote yule anaweza kuzua lolote lile dhidi ya yeyote yule kwa sababu yoyote ile.
Nyie 'wasomi', hivi kweli haiwezekani kwenda kumfungulia mashitaka huyo Paul Makonda kama kweli ushahidi wa yanayosemwa dhidi yake upo?
Si mumburute tu mahakamani huko akaaibike rasmi. Au ni majungu tu?
Hilo ni swali zuri sana.Licha ya kwamba Makonda mwenyewe alichemka vibaya kwenye hiyo vita, lakini hapa nilipo najiuliza kwa nini yote haya ya Daudi Bashite yameibuka sasa hivi na si awali hususan kama watu walikuwa wanajua kuwa hilo jina la Paul Makonda si jina lake kweli.
Wewe unayemtetea unao ushaidi kwamba wanamsingizia?
Kama mwenye vyeti kawekwa sehemu tulivu,hotelini,ale na kunywa kwa mfuko wa BASHITE tutajuaje?How can you trust, they are FAKE VYETI in the first place wakati hata vyeti vyenyewe hatujaviona - aliyeibiwa JINA na Vyeti hajazungumza chochote kama yupo - Tushaanza kuamini tu kwasababu Mange kasema
Kwani hapa pana hadhi gani ya kupokea huo ushahidi?Sasa mpenzi kama asipovitoa utafanyaje?
kwa nini tunawapa nguvu watuhumiwa eti , avitoe,ajitetee, aombe msamaha n.k
ni lini tutaamka kama wenye nguvu na kufanya anachoshauri ngabu??
wewe binafsi haupendi kuona kabisa huo ushahidi unawekwa hapa? usingependa?
suppose umedanganywa sasa!!!
au unapenda kuamini?
Labda alishawahi kuzaa na mtoto huyo aliitwa Daudi au labda Makonda alimwoa akiwa tayari na mtoto - Maana mnasema Makonda hazalishi, Mange kawaambia ?View attachment 475492 View attachment 475492
Cheki kwenye snapshot ya page ya mke wa Paulo, Mke wake Paulo yeye mwenyewe toka January mwaka 2016 kule Insta anajiita Mama Daudi, sasa jiulize Daudi huyo ni nani wakati hajajaaliwa mtoto?
Paul ndiyo Daudi mwenyewe hapo akili kumkichwa!!
Nianze kwa kusema tu kuwa ...
Nyie 'wasomi', hivi kweli haiwezekani kwenda kumfungulia mashitaka huyo Paul Makonda kama kweli ushahidi wa yanayosemwa dhidi yake upo?
Si mumburute tu mahakamani huko akaaibike rasmi. Au ni majungu tu?
Kama mwenye vyeti kawekwa sehemu tulivu,hotelini,ale na kunywa kwa mfuko wa BASHITE tutajuaje?
Basi jilaumu wewe mwenyewe maana umehoji na kutetea hoja wakati huo huo. kama ni kuhoji ulitakiwa uhoji bila kuweka maneno ya kutetea.Unaona sasa...mambo ya kusoma jambo na kushindwa kuelewa ulichokisoma.
Mimi sijamtetea mtu yeyote kwenye hili suala.
Nimehoji ushahidi wa madai au tuhuma zilizotolewa.
Je, ushahidi kwamba Paul Makonda si Paul Makonda bali anaitwa Daudi Bashite uko wapi?
Unaweza kunipa/ kunionyesha?
Hahaaa...nipo huku Ikungulyabashashi kaka.
Nasikia tu hadi wachungaji wanasema eti Paul Makonda si jina lake bali jina lake ni Daudi Bashite na ushahidi wanao lakini hawatuonyeshi huo ushahidi.
I wonder why!
Things that make you go hmm....
Nianze kwa kusema tu kuwa mimi ni mbeba maboksi nisiyejua mengi hususan kwenye hiyo fani ya 'wasomi' wabobezi [wanasheria] ambao ndiyo majiniasi wetu wenye kuongea Viingereza hatari lakini salama. Nimeishia kidato cha nne tu. Kwa hiyo msinihoji sana kuhusu elimu yangu. Ni ndogo sana.
Sasa hapa nilipo na ujinga wangu huu najiuliza maswali kadha wa kadha na sipati majibu.
Hivi kinachodaiwa dhidi ya Makonda ni kosa la jinai?
Kama ni kosa la jinai na kama kweli ushahidi upo, tena ambao ni wa kutosha na kuridhisha kabisa, kwa nini hao watu waolizitoa hizo tuhuma hawaendi kumfungulia kesi mahakamani?
Au haiwezekani kwa raia kwenda kufungua kesi mahakamani kwa manufaa ya umma dhidi ya kiongozi?
Manake mpaka sasa kilichopo au niseme ambacho nakijua mimi kupitia hii mitandao ya kijamii ni maneno tu kuwa Paul Makonda si jina lake halisi.
Jina lake halisi ni Daudi Bashite. Lakini sijaona ushahidi wowote ule uliotolewa na hao watuhumu unaothibitisha hizo tuhuma zao.
Sasa maneno tu peke yake si ushahidi wa lolote maana mtu yeyote yule anaweza kuzua lolote lile dhidi ya yeyote yule kwa sababu yoyote ile.
Nyie 'wasomi', hivi kweli haiwezekani kwenda kumfungulia mashitaka huyo Paul Makonda kama kweli ushahidi wa yanayosemwa dhidi yake upo?
Si mumburute tu mahakamani huko akaaibike rasmi. Au ni majungu tu?
Siyo lazima hiyo mamlaka ifate mawazo yakoUnasubiri nini na wewe kufanya Research yako kupata majawabu ?
Viashiria vi dhahiri kuwa jamaa ni Daudi Bashite.
Kama kweli ana vyeti Original tofauti na Madai ya watu kitu gani kinamzuia kujitokeza na ku Clear atmosphere ?
Mbona yule DED mteule ambaye watu walimzushia kuwa ni Manager wa hotel na ana Certificate tu ya Hotel Management Mamlaka yake ya uteuzi ilikuja na kutoa Clarifications na yeye akatoa vyeti vyake hadharani
Why ya Bashite kunakuwa na kigugumizi sana ?
Wengi wanajenga hoja based on this,watu hawana haja ya kumpeleka Mahakamani,wanataka Mamlaka yake ya uteuzi either itoe clarification ama imchinjie baharini
Mkuu, tuhuma dhidi ya Makonda Zipo wazi Sana, na mwenye jukumu la Kumshtaki Makonda si mtu aliyemtuhumu Bali ni mwajiri, aliyemtuhumu amedai anao ushahidi wa kutosha na yupo tayari kuisaidia mahakama.Nianze kwa kusema tu kuwa mimi ni mbeba maboksi nisiyejua mengi hususan kwenye hiyo fani ya 'wasomi' wabobezi [wanasheria] ambao ndiyo majiniasi wetu wenye kuongea Viingereza hatari lakini salama. Nimeishia kidato cha nne tu. Kwa hiyo msinihoji sana kuhusu elimu yangu. Ni ndogo sana.
Sasa hapa nilipo na ujinga wangu huu najiuliza maswali kadha wa kadha na sipati majibu.
Hivi kinachodaiwa dhidi ya Makonda ni kosa la jinai?
Kama ni kosa la jinai na kama kweli ushahidi upo, tena ambao ni wa kutosha na kuridhisha kabisa, kwa nini hao watu waolizitoa hizo tuhuma hawaendi kumfungulia kesi mahakamani?
Au haiwezekani kwa raia kwenda kufungua kesi mahakamani kwa manufaa ya umma dhidi ya kiongozi?
Manake mpaka sasa kilichopo au niseme ambacho nakijua mimi kupitia hii mitandao ya kijamii ni maneno tu kuwa Paul Makonda si jina lake halisi.
Jina lake halisi ni Daudi Bashite. Lakini sijaona ushahidi wowote ule uliotolewa na hao watuhumu unaothibitisha hizo tuhuma zao.
Sasa maneno tu peke yake si ushahidi wa lolote maana mtu yeyote yule anaweza kuzua lolote lile dhidi ya yeyote yule kwa sababu yoyote ile.
Nyie 'wasomi', hivi kweli haiwezekani kwenda kumfungulia mashitaka huyo Paul Makonda kama kweli ushahidi wa yanayosemwa dhidi yake upo?
Si mumburute tu mahakamani huko akaaibike rasmi. Au ni majungu tu?
Ushahidi ni kwamba hajakanusha has a kwa kuzingatia yeye ni msemaji mahiri na chombo chake cha kusemea clouds kipo angeshasema neno tu tena kwa tambo za kufa mtu.Nianze kwa kusema tu kuwa mimi ni mbeba maboksi nisiyejua mengi hususan kwenye hiyo fani ya 'wasomi' wabobezi [wanasheria] ambao ndiyo majiniasi wetu wenye kuongea Viingereza hatari lakini salama. Nimeishia kidato cha nne tu. Kwa hiyo msinihoji sana kuhusu elimu yangu. Ni ndogo sana.
Sasa hapa nilipo na ujinga wangu huu najiuliza maswali kadha wa kadha na sipati majibu.
Hivi kinachodaiwa dhidi ya Makonda ni kosa la jinai?
Kama ni kosa la jinai na kama kweli ushahidi upo, tena ambao ni wa kutosha na kuridhisha kabisa, kwa nini hao watu waolizitoa hizo tuhuma hawaendi kumfungulia kesi mahakamani?
Au haiwezekani kwa raia kwenda kufungua kesi mahakamani kwa manufaa ya umma dhidi ya kiongozi?
Manake mpaka sasa kilichopo au niseme ambacho nakijua mimi kupitia hii mitandao ya kijamii ni maneno tu kuwa Paul Makonda si jina lake halisi.
Jina lake halisi ni Daudi Bashite. Lakini sijaona ushahidi wowote ule uliotolewa na hao watuhumu unaothibitisha hizo tuhuma zao.
Sasa maneno tu peke yake si ushahidi wa lolote maana mtu yeyote yule anaweza kuzua lolote lile dhidi ya yeyote yule kwa sababu yoyote ile.
Nyie 'wasomi', hivi kweli haiwezekani kwenda kumfungulia mashitaka huyo Paul Makonda kama kweli ushahidi wa yanayosemwa dhidi yake upo?
Si mumburute tu mahakamani huko akaaibike rasmi. Au ni majungu tu?
Nyani Ngabu: unaamini maneno ya mitandaoni yanayoandikwa na watu wenye kujificha kwenye ID ' fake' au ya Mchungaji Gwajima, madhabahuni, kuwa kuna ushahidi!
Nimeandika humu, hata kumshauri Pascal Mayala, kwenye bandiko lake, kwamba hakuna ushahidi ni majungu, atumie uandishi wake kupata ushahidi, badala naye kuhoji, kama wewe!
Mbona ushahidi uko wazi tu. Ni kwenda shule na vyuo zinazodaiwa amesoma akafeli na ikibidi kutumia vyeti vya watu wengine, kupata huo ushahidi. Kwa kuwa huko shuleni au vyuoni, kuna majina na picha za wanafunzi, na kwa ziada kuna taarifa kamili za mienendo na maendeleo ya kila mwanafunzi.
Kama ametumia majina ya watu wengine, je, hao wanatumia majina gani katika kujisajiri kwa mahitaji ya vitambulisho mbalimbali (km uraia, passport, benki, kupiga kura, bima ya taifa, na kadhalika), au ni marehemu!
Mtajuaje ? - Kwani mmejuaje kuwa Yeye si Paul Makonda bali ni Daudi Bashite ?Kama mwenye vyeti kawekwa sehemu tulivu,hotelini,ale na kunywa kwa mfuko wa BASHITE tutajuaje?
Labda ukosefu wa ajira umegeuza mitandao ya kijamii kuwa vijiwe vya kusambaza udaku.Wa Tanzania wengi ni bendera fuata upepo
Mangi kasema ,gwajima kasema ,nanihi kasema
Mtanzania unaweza kumchezea na kumshika akili ,mpe gossips tu utamhamisha kwenye agenda
Ushahidi ni kwamba hajakanusha has a kwa kuzingatia yeye ni msemaji mahiri na chombo chake cha kusemea clouds kipo angeshasema neno tu tena kwa tambo za kufa mtu.
Ngabu,,,we ni msomi na unamkingia kifua kisaikolojia zaidi tunafahamu.Kwa hiyo sasa hivi yamekuwa mambo ya 'kama', siyo?
Kama ni hivi, kama ni vile....lakini ushahidi wa kuwa yeye si Paul Makonda bali ni Daudi Bashite mpaka hivi sasa hakuna.
Kwa nini?