The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,745
- 18,497
Inawezekana kabisa anazusha ........... ila so far ndiye mtu pekee aliyetamka wazi kuwa anao ushahidi!!Ahahahaaa....kwa hiyo kumbe huyo Gwajima naye hakuuonyesha huo ushahidi anaodai anao.
Hivyo hatuwezi hata kujua kama kwamba [1] anao kweli na [2] ni ushahidi unaotosha na kuridhisha.
Hivyo hata yeye anaweza akawa anazusha tu ili kupoteza kabisa lengo na kuzua mparaganyiko tu.
Ni hivi , alipogundua kwamba amepora jina la mtu alienda mahakamani kuapa na kujiwekea kinga kisheria .Nianze kwa kusema tu kuwa mimi ni mbeba maboksi nisiyejua mengi hususan kwenye hiyo fani ya 'wasomi' wabobezi [wanasheria] ambao ndiyo majiniasi wetu wenye kuongea Viingereza hatari lakini salama. Nimeishia kidato cha nne tu. Kwa hiyo msinihoji sana kuhusu elimu yangu. Ni ndogo sana.
Sasa hapa nilipo na ujinga wangu huu najiuliza maswali kadha wa kadha na sipati majibu.
Hivi kinachodaiwa dhidi ya Makonda ni kosa la jinai?
Kama ni kosa la jinai na kama kweli ushahidi upo, tena ambao ni wa kutosha na kuridhisha kabisa, kwa nini hao watu waolizitoa hizo tuhuma hawaendi kumfungulia kesi mahakamani?
Au haiwezekani kwa raia kwenda kufungua kesi mahakamani kwa manufaa ya umma dhidi ya kiongozi?
Manake mpaka sasa kilichopo au niseme ambacho nakijua mimi kupitia hii mitandao ya kijamii ni maneno tu kuwa Paul Makonda si jina lake halisi.
Jina lake halisi ni Daudi Bashite. Lakini sijaona ushahidi wowote ule uliotolewa na hao watuhumu unaothibitisha hizo tuhuma zao.
Sasa maneno tu peke yake si ushahidi wa lolote maana mtu yeyote yule anaweza kuzua lolote lile dhidi ya yeyote yule kwa sababu yoyote ile.
Nyie 'wasomi', hivi kweli haiwezekani kwenda kumfungulia mashitaka huyo Paul Makonda kama kweli ushahidi wa yanayosemwa dhidi yake upo?
Si mumburute tu mahakamani huko akaaibike rasmi. Au ni majungu tu?
Kesi ya Lema mlalamikaji ni nani .Serikali mpaka ipate malalamiko kutoka kwa walalamikaji..na mpaka sasa hakuna walalamikaji
Can't you read their mind?Hili swala la Makonda mbona limekuwa complicated-in this day and age it should not be happening-could it be analindwa na the master-why don't he just come out and cleanse himself of the dirt
Jukumu la kuthibitisha tuhuma ni la mleta tuhuma (mtuhumiwa) na si la mtuhumiwa.Wanaomtuhumu hivyo waje na ushahidi na kusajili sehemu husika ili hatua stahiki zifate.Na yeye kwa nini asilete vyeti?
Au anaupenda huu mchezo?
Tunaichelewesha Tanzania!
Kuna mahakama ya east Africa community iko wazi yeyote aweza kwenda kufungua kesi ikasikilizwa kama ananeno na mtuha ha ha
kesi ya nyani umpelekee ngedere
How can you trust, they are FAKE VYETI in the first place wakati hata vyeti vyenyewe hatujaviona - aliyeibiwa JINA na Vyeti hajazungumza chochote kama yupo - Tushaanza kuamini tu kwasababu Mange kasemaWakwetu, mpaka sasa mlalamikaji hajulikani ni nani. Inawezekana hawampeleki mahakamani kwa vile hakuna anayefaidika au watu wanasubiri waone action za Mkuu kwa vile toka aingie alitangaza kuwashughulikia wenye vyeti fake!!
Anyway, kuna mahali nimeuliza, hivi kweli hakuna mwanachama wa JF kutoka Koromije?
Hivi kweli hakuna vijana waliosoma naye Pamba Secondary ambao ni wanachama wa JF!!?
Bahati nzuri Gwajima wanatoka kijiji kimoja ila hawakuwa wanafahamiana. Sasa tusubiri huo ushahidi wa Gwajima tuone kama ni kweli ............ tatizo hakutoa time frame ya lini atautoa kama hataombwa msamaha au kama Mh. hatawajibishwa!!
Well said mkuu watz wengi ni bendera fuata upepo ushabiki iliopo nchini hasa kwenye mambo ya msingi ndio maana inabidi titawaliwe tu Kama trump asamevyo we are so stupidWa Tanzania wengi ni bendera fuata upepo
Mangi kasema ,gwajima kasema ,nanihi kasema
Mtanzania unaweza kumchezea na kumshika akili ,mpe gossips tu utamhamisha kwenye agenda
Even vita yake ya Madawa ya kulevya ni Political driven,for whose advantege,Bashite ndiye anajua.So you admit that there's no 'there there' but rather everything is politically motivated, right?
Silence is the best answer.Hata El anasemwaga sana lkn ameamua kupiga kimya tu.Hili swala la Makonda mbona limekuwa complicated-in this day and age it should not be happening-could it be analindwa na the master-why don't he just come out and cleanse himself of the dirt
Amesubiri washitaki wake mpeleke vyeti vyake si mnavyoNa yeye kwa nini asilete vyeti?
Au anaupenda huu mchezo?
Tunaichelewesha Tanzania!
Ni hivi , alipogundua kwamba amepora jina la mtu alienda mahakamani kuapa na kujiwekea kinga kisheria .
Kwahiyo mnaweza kwenda Mahakamani halafu mkaambiwa ni kweli jina halikuwa lake lakini alikuja kujimilikisha kisheria , Ndio maana sisi sasa hivi tumepeleka kesi kwenye mahakama ya umma , zaidi tutamuomba Ndalichako atupe mwongozo .
Mtuhumu ndiye mwenye wajibu WA kuthibitisha tuhuma.Mwenye wajibu wa kuthibitisha tuhuma huwa ni nani kwani?
Mtuhumu au mtuhumiwa?
Nielimishe mie mbeba maboksi aka ex-mla vumbi na mkanyaga tope😀.
kwanza Czonje ndio anasubiriwa achape viboko kwa mkono wake mwenyewe ili IWE UTAMU KUNOGA, akifunga macho utelez utamzoa na yeye, hapo matope lazima yamchafue.Subiri kidogo tutautoa huo ushahidi wote mtakimbia.
Yuko wapi huyo mwenye vyeti ? - Au kafa - Hata kama hana Ndugu ?Mkuu wa mkoa ni Paul C. Makonda, Daudi yeye anafanya nini kwenye hicho cheo? Mwambieni ampishe mkuu wamkoa Halisi
How can you trust, they are FAKE VYETI in the first place wakati hata vyeti vyenyewe hatujaviona - aliyeibiwa JINA na Vyeti hajazungumza chochote kama yupo - Tushaanza kuamini tu kwasababu Mange kasema
Mtuhumu anatakiwa apeleke ushahidi wa tuhuma zake kwa SERIKALI alafu hatua stahiki zitafata.Mimi nimeishia form four A haaa haaaa.
Kwakuwa nimeishia form four nadhani makosa ya jinai yanapaswa kuwa handled na serekali kupitia taasisi zake DCI au DPP.Hivyo wewe kama raia huna nafasi ya kumshtaki Bashite nafasi uliyonayo ni kumzodoa tuu na si vinginevyo.Mfano kama umeshiriki kutoa uhai wa mwanao mkeo atakuwa shahidi wa jamhuri (DPP) mwenye kesi au atakayekushtaki atakuwa mkurugenzi wa mashtaka.
Una nafasi ya kumshtaki Bashite katika makosa ya civil eg kesi ya madai ya kuchafuliwa jina ambayo nadhani bado kidogo tu zitaanza kunguruma katika mahakama zetu tukufu.
Pomoja na kuwa inawezekana ukawa unajua sheria ila mtitiro wa ulivyoandika una abuse ujuzi wako coz mtoa mada amehitaji clarification sio kuzomewa. Wakati mwingine ni vizuri ukaangalia maudhui ya habarimbona una kiherehere ,bashite hachomoki ,subiri kesi ya kikatiba ikianza cross examination ndo atabanwa mbele ya hon judge and ruling itaweka precedent kwenye law report kuwa kuchakachua vyeti ni criminal offence,
HII NI DHANA MUHIMU KATIKA UTAWALA BORAKiongozi ukituhumiwa kaa pembeni hadi ukweli upatikane.Kiutawala unasimamishwa kupisha uchunguzi ikithibitika unachukuliwa hatua stahiki ikiwemo pia kushitakiwa.