Kuna tofauti kati ya kuendesha kesi na kuripoti kesi. Ukipigwa mtaani utasubiri serikali iendeshe kesi au utaripoti polisi kwanza? Wenye ushahidi kuwa Makonda amefoji elimu yake na waripoti kwenye mamlaka husika.Kesi ya jinai inaendeshwa na serikali na sio mtu binafsi.
Mwenye wajibu wa kuchunguza na kumpeleka huyo jamaa mahakamani ni serikali.
Come on now, what's in a name? If Paul could be Daudi and Makonda could be Bashite, why do we need names when the picture says it all? Remember a picture is worth a thousand words and a drawing shows at one glance what might be spread over ten pages in a book
Where is the evidence that proves Paul Makonda is not Paul Makonda but Daudi Bashite?
Where is it? Please show me so I can drop on him like a ton of bricks.
Ahahaaa see...I knew it.Please stop acting like a climate change denier
Don't these three look like siblings? 🙂🙄😱!!!
Makosa yote ya jinai, anayeweza kufungua mashtaka ni Jamhuri kwa kupitia polisi (DPP). Wewe raia uliyetoa taarifa juu ya uwepo ya jinai unakuwa shahidi.Hahaaa...nipo huku Ikungulyabashashi kaka.
Nasikia tu hadi wachungaji wanasema eti Paul Makonda si jina lake bali jina lake ni Daudi Bashite na ushahidi wanao lakini hawatuonyeshi huo ushahidi.
I wonder why!
Things that make you go hmm....
Ukitwangwa ngumi, wewe uliyetwangwa unaweza kufungua kesi ya madai, na kuiomba mahakamani imlazimishe aliyekutwanga kukulipa fidia kutokana na athari ulizozipata wewe binafsi. Lakini kosa la kukutwanga ambalo ni jinai, utaripoti polisi, na Jamhuri ndiyo itakayomshtaki mahakamani aliyekutwanga kwa sababu shambulio la mwili ni kosa la jinai.Kwa hiyo mimi nikija hapo ulipo na kukutwanga ngumi kwenye chembe huwezi kwenda mahakamani kunifungulia mashitaka ya kukushambulia?
He/she who alleges must prove.
Allegations don't just prove themselves.
So did I miss the memo or something?
Huyu Jamaa Simpendi by Nature tokea Zamani yani ni kichefuchefu kwangu Ila Lazima Niwe mkweli nimemjua huyu Dogo tokea mwaka 1992/93 wakati akiishi kwa mh.meya Kamese na tulikuwa tukikutana saana kwenye mazoezi ya mchezo wa mpira wa kikapu Basketball ndani ya compound ya Hospital ya Rufaa ya Bugando kuna eneo la Uwanja wa Basketball kwa ruhusa ya Father moja tulipewa nafasi ya kufanya mazoezi mule Ndani kwa ajili ya timu yetu ya Bugando Planet .
Huyu Dogo Alikuwa akipenda saaana kufuatana na kampani za watoto wa wakubwa mfano hapo Bugando alikuwa akipenda kujichangaya na watoto wa Meneja wa kiwanda cha Mwatex wakati huo Mzee Marwa wanae kina Msafiri(alikuwa ubalozi wa Tanzania UK)Amani Sasa Marehemu na Majaliwa waliokuwa wakiishi maeneo ya kota za Mwatex.
Siku moja niliwahi kutaka kumzabua vibao baada ya kueneza uvumi kuwa mimi ndie nilikuwa naandika majina ya waliotoa mchango wa Beach Part iliyokuwa imepangwa kufanyika Igombe siku hizi Tunza Beach Nilipozinasa habari hizo siku iliyofuatia Nikamnasa akataka kukimbia nikamdaka Akalia saana kuwa anasingiziwa Bahati alikuwepo Bwana Mmoja anaiitwa Bukombe akamuombea msamaha pia mwalimu Campbell aliyekuwa akitufundisha akanitahadharisha ikitokea ukampiga akalia au kuumia tunaweza kufukuzwa hapo Bugando.
Nachokishangaa huyu jamaa tokea enzi hizo tulikuwa tukimwita Makonda Domo na sio hilo jina la Bashite ila Jina la Daud pia sikumbuki kama alikuwa akilitumia Huu ndio ukweli na wala sifichii

Ngabu wala sikufichi hizo details zingine zinakinzana na ukweli bahati mbaya photo album niliiwacha Dar ila huo ndio ukweli kama kuna mtu anamfahamu Idi Baka Pandisha mumewe Asha baraka wa Twanga pepeta amtafute atathibitisha haya ninayoandika maana Idi baka ndio alikuwa team captain wetu mwaka 1992 mpaka 1995 Huyu Dogo kiherere saana tokea zamani ila ukweli ni kuwa hilo jina la Bashite Sikuwahi kulisikia na ikiwa alizaliwa 1981 mpaka 1993 Kwa Umri aliyokuwa nao sidhani kama ni kweli maana kipindi hicho alikuwa na wajihi usiopunguwa umri wa miaka 17-20 Alikuwa Dogo halafu mpenda story saana na hasa usengenyaji kama shoga vileOna sasa na wewe...kama yeye kazaliwa mwaka 1981 na wewe unadai miaka ya 92 na 93 mlikuwa mnamwita Makonda....
Duh...ona sasa.
Mwaka 92 na 93 mlikuwa mnamwita Makonda.
Yeye tunaambiwa kazaliwa 1981.
Aisee!!!
The plot thickens....Ngabu wala sikufichi hizo details zingine zinakinzana na ukweli bahati mbaya photo album niliiwacha Dar ila huo ndio ukweli kama kuna mtu anamfahamu Idi Baka Pandisha mumewe Asha baraka wa Twanga pepeta amtafute atathibitisha haya ninayoandika maana Idi baka ndio alikuwa team captain wetu mwaka 1992 mpaka 1995 Huyu Dogo kiherere saana tokea zamani ila ukweli ni kuwa hilo jina la Bashite Sikuwahi kulisikia na ikiwa alizaliwa 1981 mpaka 1993 Kwa Umri aliyokuwa nao sidhani kama ni kweli maana kipindi hicho alikuwa na wajihi usiopunguwa umri wa miaka 17-20 Alikuwa Dogo halafu mpenda story saana na hasa usengenyaji kama shoga vile
Hilo nalo neno! Baba angekua na nia ya kumtumbua mwana angelifanya tokea mda... Hapa kinachofanyika ni kum-pressurize baba amtupe mwana chini ya basi[emoji16]Labda wanamuogopa baba yake
Aye...nice name there...Hilo nalo neno! Baba angekua na nia ya kumtumbua mwana angelifanya tokea mda... Hapa kinachofanyika ni kum-pressurize baba amtupe mwana chini ya basi[emoji16]
Unataka kusema mpaka wazazi wake nao wanatuficha kakitu flani?[emoji15]Ushahidi ni mwingi sana tu..ukiwemo wa MKEWE kufuta acc ya Instagram..YENYE JINA LA DAUDI BASHITE... .. wazazi wake kudanganya kwamba makonda kazaliwa peke YAKE kumbe ana DADA na Mdogo wake.
Ila wanatumia SURNAME YA BASHITE...... kukaa kwake kimya ..BILA KUKANUSHA......VYETI vya shule SIO TUNGURI ...kwamba VINA MASHARTI kuvitoa mpaka uombe mizimu?NA kwa anavyopenda sifa bwana BASHITE... LAZIMA angeshavitoa faster tu...
Aye...nice name there...
I like paprika very much.
Unapompiga mtu ngumi kuna mawili... Ikiwa vyombo vya dola vitashuhudia utashtakiwa na jamhuri na yule uliyempiga atakuwa shahidi. Ikiwa vyombo vya dola havikuwepo huyu ataenda kushtaki kutetea interest zake ikiwemo kudai fidia kwa madhara yoyote atakayokuwa ameyapata. Kwa hio kumshambulia mtu pana kesi mbili... Jinai na madai.. ..katika hili unalolisema uwezekano Upo Lakini je.... Nani ataenda kumfunga paka kengele??Kwa hiyo mimi nikija hapo ulipo na kukutwanga ngumi kwenye chembe huwezi kwenda mahakamani kunifungulia mashitaka ya kukushambulia?
Thank you very much! My real name is beautiful too... Am sure you would have liked it also.Aye...nice name there...
I like paprika very much.
Thank you very much!
My real name is beautiful too... Am sure you would have liked it also.