mbwigule
JF-Expert Member
- Jan 21, 2012
- 235
- 103
cjui ni shetani au nini jamani????
ingawa yanga si timu yangu wala
cjawahi kuishabikia hata cku moja
ila kwa ndoto niliyoota ucku wa kuamkia leo
naomba mungu apitishe mbali cause waarabu
walichokifanyia yanga kwa magoli yote yale,
nimeota kapigwa tano bila jamani???? naiombea yanga heri ingawa mimi simbaa
Mimi ni Simba "pure" lakini Timu yoyote ya nyumbani inapocheza na wageni mimi niko pamoja na hiyo timu. Naiombea Yanga ushindi ili Bendera ya Tanzania iendelee kupeperushwa kimataifa.
Nasisitiza tena kwamba mimi ni Simba tangu mwaka 1964 enzi zile tukiwa Sunderland hadi tulipobadili jina kuwa Simba. Nawashauri wote, Simba na Yanga timu zetu zinapopambana na timu za nje ya nchi tuache kabisa kuzishabikia timu ngeni kwani hata tunaowashabikia wanatushangaa na kutuona mazuzu.