Kama ni kweli Mungu ipitishie Yanga sc mbali

Kama ni kweli Mungu ipitishie Yanga sc mbali

Kifai

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
816
Reaction score
174
cjui ni shetani au nini jamani????
ingawa yanga si timu yangu wala
cjawahi kuishabikia hata cku moja
ila kwa ndoto niliyoota ucku wa kuamkia leo
naomba mungu apitishe mbali cause waarabu
walichokifanyia yanga kwa magoli yote yale,
nimeota kapigwa tano bila jamani???? naiombea yanga heri ingawa mimi simbaa
 
chunguza vizuri mkuu. Asije akawa Popobawa alikua anakula tigo kindoto ukaona Yanga! Haukuchafuka!
 
:washing:..............Hakuna jipya mbona wao wanawafunga wenzao 7 - 0 ... acha na wao wakione cha moto ... ukijua kula vya watu na vyako pia huliwa.... zamu kwa zamu :lock1:
 
chunguza vizuri mkuu. Asije akawa Popobawa alikua anakula tigo kindoto ukaona Yanga! Haukuchafuka!

utakuwa ulishaliwa ndo maana unajua eeh??
 
:washing:..............Hakuna jipya mbona wao wanawafunga wenzao 7 - 0 ... acha na wao wakione cha moto ... ukijua kula vya watu na vyako pia huliwa.... zamu kwa zamu :lock1:

kweli mkuu mliwa kumbe nae huliwa??? huhuhuhuhuhu
 
Hahahaah.......haiwezekani goli zote hizo.....????
 
kweli mkuu mliwa kumbe nae huliwa??? huhuhuhuhuhu

Mimi pia nimeota, ila matokeo yamekua 1 - 1 na yanga ndo walianza kufunga na kwa maana hiyo ktk ndoto hiyo, Yanga wakawa wanasonga mbele kwenye 16 bora na kuna jamaa yangu yeye ameota waarabu 2 Yanga 1 kwa faida ya goli la ugenini ktk ndoto yake, Yanga ikasonga mbele. Sasa sijui hizi ndoto maana yake ni nini? Tusubiri tuone.
 
Yani Mimi sishabikii timu yoyote Tz lkn ktk hii game ya yanga Leo wajiandae kulia tu!
 
Ahsante MUNGU kwa kutuma maono kupitia ndoto za kijana huyu

tunaamini yatatimia haya
 
cjui ni shetani au nini jamani????
ingawa yanga si timu yangu wala
cjawahi kuishabikia hata cku moja
ila kwa ndoto niliyoota ucku wa kuamkia leo
naomba mungu apitishe mbali cause waarabu
walichokifanyia yanga kwa magoli yote yale,
nimeota kapigwa tano bila jamani???? naiombea yanga heri ingawa mimi simbaa

Pole.
Leo ni maumivu tu kwa simba. Mbeya mnafungwa, na kule hakuna viti vya kung'oa. Halafu Yanga anasonga mbele, mtalia sana mwaka huu.
 
Al ahly team piga hao yanga goli 4 warudi nyumbani dar mvua zinanyesha jangwani kunamafuriko.
 
cjui ni shetani au nini jamani????
ingawa yanga si timu yangu wala
cjawahi kuishabikia hata cku moja
ila kwa ndoto niliyoota ucku wa kuamkia leo
naomba mungu apitishe mbali cause waarabu
walichokifanyia yanga kwa magoli yote yale,
nimeota kapigwa tano bila jamani???? naiombea yanga heri ingawa mimi simbaa

Hata huko Misri kwenyewe kuna waarabu wameota kuwa Al Ahly watapigwa.
Hizo ni ndoto tu, subiri dk90. Natumaini Yanga itasonga raundi ya pili.
Mikia leo mshughulike na Prison mambo ya Yanga waachie Yanga wenyewe
 
Mtaendelea kuota hata kwa mchana huu, halahala tu hayo mliyofikiri magoli tumefungwa yanga kumbe ulikuwa unajaza mizigo ya nnya kitandani.
 
Al ahly timu funga hao yango goli 3 tu,ngassa aje aendelee na kazi yake ya ususi
 
Back
Top Bottom