Kama ni kweli CHADEMA hawajatumia hata shilingi moja ya ruzuku itokanayo na wabunge 19 basi wamekomaa kisiasa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,004
142,035
Kwanza kabisa nitoe pongezi za awali kama ni kweli CHADEMA haijagusa ruzuku itokanayo na wabunge 19 wa viti maalumu kwa kuamini wale siyo wabunge halali.

Hapo CHADEMA inaweza kujitofautisha na ACT wazalendo kwa ukomavu na kujiamini.

Maendeleo hayana vyama!
 
Ruzuku haitokani na wabunge viti maalumu walioko bungeni!!!!!!Ruzuku hutokana na asilimia za kura za urais chama kilizopata!
 
Ruzuku haitokani na wabunge viti maalumu walioko bungeni!!!!!!Ruzuku hutokana na asilimia za kura za urais chama kilizopata!
Ndio nimemuuliza huyo Bavicha mwenzio Babati mwaka 2015 CUF ilipata kura ngapi (%) za urais?

Maana ilikuwa ya 3 kwa kupata ruzuku kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…