Kama ni kweli basi CCM ni master mind na imefanikiwa!

Jamaa umewaza mbali sana hakuna kitu km hicho utakuwa sasa ni mchezo wa kuigiza

NEC ina mamlaka ya kurudisha mchakato kwa kamati kuu ufanyike upya!Likifanyika hilo utaamini maneno yangu?
 
Kwa hiyo hao wanaomuunga mkono wanataka tuongozwe na akina Rostam Azizi. Ndivyo tunataka kweli? Amekatwa amekatwa basi. Wajumbe watawanyike na tuishie hapo.
Ukawa tupe Rais.
 
Nimepata wakati mgumu kufikiri kwanini ccm imemtema lowassa tena kwa kuvunja katiba ya chama kwa kuwasilisha majina pungufu kwenye kamati kuu kwa ajili ya mchujo,ikumbukwe kwa mujibu wa kanuni majina yote yanatakiwa yawasilishwe pale!

Lowassa anakubalika ndaani na nje yaa chama,japo kuna watu walishachoka ccm na kwenda upinzani lakini bado wana imani na mtu huyu:

Sasa ccm wamemuacha vp mtu huyu hata kwenye tano bora wakati ndiye mgombea aliyekusanya wadhamini wengi na kuungwa mkono kuliko yeyote kati ya watia nia?

Huu waweza kuwa mchezo uliochezwa vizuri kupima upepo ili hata wale walioko upinzani wamuunge mkono lowassa kuwa hakustahili kuenguliwa!Hapa ndipo ngoma itachezwa mpaka,watumwe akina Nchimbi kwenda kutangaza kupinga maamuz ya kamati kuu ili kuwashtua wananchi kuwa lowassa kaonewa!
Then Baadae NEC ipinge maamuzi ya kamati kuu ili kurudisha nafasi kwa mchakato kurudiwa upya na hapa ndipo lowassa apitishwe!
Kwa style hiyo ataungwa mkono na hata wale ambao hawakumhitaji kama angepitishwa in the first place!
Tufikiri nje ya box,if this is the plan bas ccm noma!

Did u see it coming?je,kuna possibility hiyo?

Tusubiri

Mambo ya kwenye movie haya...hata kama yangetokea kwenye uhalisia hayawezi kutokea kwetu huku, Viongozi wetu wangekuwa na michoro ya namna hii tungeshakuwa na maendeleo
 
mimi kuna kauli wanapenda kuitumia watu kuwa lowassa anakubalika ndani na nje ya ccm mimi napingana nayo

ninavyo amini kuwa mtu akipendwa hana ulazima wa kutumia hata Mia mfano nyerere alikuwa mwalimu tu na wala akuwa na pesa lakini watu walimkubali na ku mfanya kiongozi wao japo kulikuwa na wenye ela na wasomi kuliko yeye lakini wakamchagua yeye awe kiongozi wao.

pili ukiangalia lowasa alikuwa ameanza kampeni mapema sana makanisani, misikitini, na sehemu mbalimbali anatoa michango ambayo aijulikani fedha zile zinatoka wapi?

tatu yeye ndio kiongozi alietumia fedha nyingi kuliko watangaza nia wote ukilinganisha na wakina membe, January, mwigulu na wengine wote vyombo vyote vya habari cku hiyo viliamia arusha na watu walisafilishwa kuelekea arusha lakini aijulikani fedha zote hizo zinatoka wapi

anglia genge la wanaomuunga mkono lowasa wengi ni mafisadi na wafanyabiashara na inajulikana wafanyabiashara ni watu wa aina gani wanapotoa fedha zao kum support mtu wanakata bdae wapate fever ktk mambo yao ya kibiashara kumbuka hawa ndo wanatakiwa kulipa kodi je ukijenga nao urafiki watalipa kodi kweli?

tatu kundi lile lililomwingiza kikwete ikulu ndo hilo hilo linataka kumpeleka lowassa magogoni je unakumbuka yale yaliofanyika kwa utawala wa kikwete yatafanyika pia na kwake.

kingine ili kundi linalojiita kama friend's of lowassa ni akina nani mbona awataki wajulikane? na wanampango gani kama ungekuwa ni mapango mzuri wangejitokeza tukawajua.

kingine inajulikana wa bongo tuna njaaa sana kuna msemo unasema ukiona kiza kikubwa ujue kunapambazuka sasa kumeshapambazuka atuitaji taa kuwaona walikuwa na lowassa kwa mapenzi ya kweli au kwa kumchuna pesa zake.
 
kakatwa kihalali, hata ningekuwa mm ndo mwenyekiti ningemkata

umemsikia Nchimbi aliyoyasema?Tujadili the possibility wadau,kuna watu walishawahi kujipiga risasi ionekane ni masuala ya siasa ili kupata sympath ya wananchi
 
mimi kuna kauli wanapenda kuitumia watu kuwa lowassa anakubalika ndani na nje ya ccm mimi napingana nayo

ninavyo amini kuwa mtu akipendwa hana ulazima wa kutumia hata Mia mfano nyerere alikuwa mwalimu tu na wala akuwa na pesa lakini watu walimkubali na ku mfanya kiongozi wao japo kulikuwa na wenye ela na wasomi kuliko yeye lakini wakamchagua yeye awe kiongozi wao.

pili ukiangalia lowasa alikuwa ameanza kampeni mapema sana makanisani, misikitini, na sehemu mbalimbali anatoa michango ambayo aijulikani fedha zile zinatoka wapi?

tatu yeye ndio kiongozi alietumia fedha nyingi kuliko watangaza nia wote ukilinganisha na wakina membe, January, mwigulu na wengine wote vyombo vyote vya habari cku hiyo viliamia arusha na watu walisafilishwa kuelekea arusha lakini aijulikani fedha zote hizo zinatoka wapi

anglia genge la wanaomuunga mkono lowasa wengi ni mafisadi na wafanyabiashara na inajulikana wafanyabiashara ni watu wa aina gani wanapotoa fedha zao kum support mtu wanakata bdae wapate fever ktk mambo yao ya kibiashara kumbuka hawa ndo wanatakiwa kulipa kodi je ukijenga nao urafiki watalipa kodi kweli?

tatu kundi lile lililomwingiza kikwete ikulu ndo hilo hilo linataka kumpeleka lowassa magogoni je unakumbuka yale yaliofanyika kwa utawala wa kikwete yatafanyika pia na kwake.

kingine ili kundi linalojiita kama friend's of lowassa ni akina nani mbona awataki wajulikane? na wanampango gani kama ungekuwa ni mapango mzuri wangejitokeza tukawajua.

kingine inajulikana wa bongo tuna njaaa sana kuna msemo unasema ukiona kiza kikubwa ujue kunapambazuka sasa kumeshapambazuka atuitaji taa kuwaona walikuwa na lowassa kwa mapenzi ya kweli au kwa kumchuna pesa zake.

mkuu,asante kuchangia!
Mimi simkubali lowassa wala mgombea yeyote wa ccm!Ila kwenye vilaza kuna mmoja zimo walau kidogo kuwapita wenzake,huyu ndiye lowassa!
Sio siri kati ya watia nia wa ccm ni lowassa ndiye anayekubalika kuliko wenzake ukiwaweka kwenye mzani,haijalishi kama ni kwa ushawishi wa fedha au la,cha msingi kawazidi wenzake!
Je,huoni kuwa kuna uwezekano wa NEC kurudisha mchakato kamati kuu kwa uteuzi upya?Na ikiwa hivyo na lowassa akapita,je kukubalika kwake si kutaongezeka kuliko awali?
Sasa je,what if this was the plan all along to increase his popularity and acceptance?
 
haya ndio madhara ya kufanya vitu kwa dharura,wamepitisha miswada kwa dharura na watapata mgombea wa dharura vilevile
 
Mambo ya kwenye movie haya...hata kama yangetokea kwenye uhalisia hayawezi kutokea kwetu huku, Viongozi wetu wangekuwa na michoro ya namna hii tungeshakuwa na maendeleo

hahaaaaa,ina maana viongozi wetu hawawezi kutengeneza draft kama hiyo?
Hivi kiongozi mtiifu kwa chama kama nchimbi ambaye alikuwa waziri,anaweza kweli toka kwenye mkutano mkuu na kukimbilia kwenye media kutoa mapungufu ya ndani ya chama?Kweli anaweza mkosea heshima JK hadharani kwa kuanika udhaifu wa kamati yake JK?Weka tafakari
 
low-hasa kutumika kugawa kula za ukawa, il CCM IPATE NAFUU YA KUSHINDA.
atagombea kupitia ACT ili kuua nguvu ya ukawa.

Ina maana ACT ndio watakubaliana na fisadi. Kwani urais ni dawa useme hadi aupate kwa chama chochote ndo apone. kama atauchukulia urais kama dawa basi atajiunga na chama chochote ili aupate lakiniakichukulia kama opportunity asi ata relax kwani ana shida gani kwa sasa.
 
mkuu,asante kuchangia!
Mimi simkubali lowassa wala mgombea yeyote wa ccm!Ila kwenye vilaza kuna mmoja zimo walau kidogo kuwapita wenzake,huyu ndiye lowassa!
Sio siri kati ya watia nia wa ccm ni lowassa ndiye anayekubalika kuliko wenzake ukiwaweka kwenye mzani,haijalishi kama ni kwa ushawishi wa fedha au la,cha msingi kawazidi wenzake!
Je,huoni kuwa kuna uwezekano wa NEC kurudisha mchakato kamati kuu kwa uteuzi upya?Na ikiwa hivyo na lowassa akapita,je kukubalika kwake si kutaongezeka kuliko awali?
Sasa je,what if this was the plan all along to increase his popularity and acceptance?

cdhani kama ilo linaweza kutokea nikwambie kitu cjawai kusikia NEC wakapinga maamuzi ya Cc na ilo lilishafanyika wapi ? kingine huu ni wakati wa lowasa kupima kama kweli watanzania wanampenda au wapambe wake walimwaminisha kuwa anapendwa sasa kumeshapambazuka atuitaji taa kuwaona walikuwa na lowassa kwa mapenzi ya kweli au kwa kumchuna pesa zake
 
Kumrudisha Lowasa itakuwa ni udhaifu wa wazi kabisa. Ina maana Lowasa ni zaidi ya ccm?. Kama anaamini anakubalika nje ya ccm aende ACT bado wananchi watampa kura . Kwanin anakomaa kugombea kupitia ccm? wanaoshangilia wamekula hela zake.
 
cdhani kama ilo linaweza kutokea nikwambie kitu cjawai kusikia NEC wakapinga maamuzi ya Cc na ilo lilishafanyika wapi ? kingine huu ni wakati wa lowasa kupima kama kweli watanzania wanampenda au wapambe wake walimwaminisha kuwa anapendwa sasa kumeshapambazuka atuitaji taa kuwaona walikuwa na lowassa kwa mapenzi ya kweli au kwa kumchuna pesa zake

mkuu,wakati JK anaingia mara ya kwanza kwenye ukumbi kuendesha kikao kabla ya kukisitisha,asilimia kubwa ya wajumbe walikuwa wanamwimba lowassa!Kuchelewa huku kote si bure ndugu!
 
Ukawa njia nyeupe ,,,tumieni gap hilo mkishindwa uchaguzi huu mmekwisha ..hii ndio nafasi ya wazi kwenu kuchukua nchi
 
cdhani kama ilo linaweza kutokea nikwambie kitu cjawai kusikia NEC wakapinga maamuzi ya Cc na ilo lilishafanyika wapi ? kingine huu ni wakati wa lowasa kupima kama kweli watanzania wanampenda au wapambe wake walimwaminisha kuwa anapendwa sasa kumeshapambazuka atuitaji taa kuwaona walikuwa na lowassa kwa mapenzi ya kweli au kwa kumchuna pesa zake

NEC iko juu ya CC kimaamuzi,mf ni sawa na kusema kamati bungeni na Bunge.Hata wajumbe wa cc wametokana na NEC!so NEC ina meno yote ya kutengua maamuzi ya CC kikatiba! Kama haijawahi tokea basi haimaanishi kuwa haiwezi tokea!
 
Ukawa njia nyeupe ,,,tumieni gap hilo mkishindwa uchaguzi huu mmekwisha ..hii ndio nafasi ya wazi kwenu kuchukua nchi

Ukawa wajipange,wasikosee step na ushindi utakuwepo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom