Kama ni kweli basi CCM ni master mind na imefanikiwa!

Nimepata wakati mgumu kufikiri kwanini ccm imemtema lowassa tena kwa kuvunja katiba ya chama kwa kuwasilisha majina pungufu kwenye kamati kuu kwa ajili ya mchujo,ikumbukwe kwa mujibu wa kanuni majina yote yanatakiwa yawasilishwe pale!

Lowassa anakubalika ndaani na nje yaa chama,japo kuna watu walishachoka ccm na kwenda upinzani lakini bado wana imani na mtu huyu:

Sasa CCM wamemuacha vp mtu huyu hata kwenye tano bora wakati ndiye mgombea aliyekusanya wadhamini wengi na kuungwa mkono kuliko yeyote kati ya watia nia?

Huu waweza kuwa mchezo uliochezwa vizuri kupima upepo ili hata wale walioko upinzani wamuunge mkono lowassa kuwa hakustahili kuenguliwa!Hapa ndipo ngoma itachezwa mpaka,watumwe akina Nchimbi kwenda kutangaza kupinga maamuz ya kamati kuu ili kuwashtua wananchi kuwa lowassa kaonewa!

Then Baadae NEC ipinge maamuzi ya kamati kuu ili kurudisha nafasi kwa mchakato kurudiwa upya na hapa ndipo lowassa apitishwe!

Kwa style hiyo ataungwa mkono na hata wale ambao hawakumhitaji kama angepitishwa in the first place!

Tufikiri nje ya box,if this is the plan bas CCM noma!

Did u see it coming?je,kuna possibility hiyo?

Tusubiri

Umewaza jambo ambalo hata mimi nililifikiria but I thought it was too far fetched. Ila naona kama I wasn't just being too paranoid....conspiracy theorists tuko wengi eti eh???
 
hahaaaaa,ina maana viongozi wetu hawawezi kutengeneza draft kama hiyo?
Hivi kiongozi mtiifu kwa chama kama nchimbi ambaye alikuwa waziri,anaweza kweli toka kwenye mkutano mkuu na kukimbilia kwenye media kutoa mapungufu ya ndani ya chama?Kweli anaweza mkosea heshima JK hadharani kwa kuanika udhaifu wa kamati yake JK?Weka tafakari

nchimbi nimeona ni kama zzk. wamedhughulikiwa acha wafie mbali
 
Umewaza jambo ambalo hata mimi nililifikiria but I thought it was too far fetched. Ila naona kama I wasn't just being too paranoid....conspiracy theorists tuko wengi eti eh???

mkuu u r one among the few who sees my point of view!
Huyu Sofia ambaye ni mwenyekiti wa wanawake ambaye kule bungeni juzi juzi alikuwa anampigia mayowe JK kwa furaha,leo siku chache baadaye aje kwenye press amseme JK na kamati yake kuendesha mchakato kinyume na taratibu!Haiwezekani,hawa kuna namna!Ni watiifu hawa kwa JK!
Tusubiri
 
nchimbi nimeona ni kama zzk. wamedhughulikiwa acha wafie mbali

Huoni kuwa kuna uwezekano kuwa walitumwa kuyasema waliyoyasema na hao hao waliokiuka taratibu,ni mambo ya conspiracy theories!Tusijeshangaa lowassa akaja kuraise like thunder storm
 
mkuu,wakati JK anaingia mara ya kwanza kwenye ukumbi kuendesha kikao kabla ya kukisitisha,asilimia kubwa ya wajumbe walikuwa wanamwimba lowassa!Kuchelewa huku kote si bure ndugu!

zile ni nyimbo tuu mkuu wale wameshafumba macho na masikio myb tunaweza kuandika history nyingine ktk ccm na Tanzania kwa ujumla ya 5 bora ya ccm kufanyiwa ammendments lakini possibility ni ndogo sana kwa Lowassa kurudi kwan unadhani ni kweli Dr migilo au amina tena tukiwauliza watanzania 10 wanaomjua amina awafiki hata 3 hapo unadhani cc walijua wakimpitisha tano bora tu kwenye majority vote atashinda ndo maana wakamkata mapema asije kuwasumbua bdae ktk majority vote
 
umesoma maelezo yangu ya mwishoni kwenye uzi?Get my point,huu ni mpango wa kumtakatisha lowassa hadi kwa wanyonge!Sasa hv kila sehem ni lowassa anazungumzwa,sasa je huoni kaongezewa umaarufu?Kitu ambacho ndicho ccm wanataka
 
mh mkuu naanza kupata point yako maana kitaa now ni lowassa kaonewa kaonewa mh kama ni kweli itakuwa hvyo basi itakuwa sio akili ya mtu mweusi na ntaamini kuwa ccm ni master mind kweli kweli na nitakuona the most great thinker I haven't meet
 
Hii haiwezi kutokea Jk na lowassa sasa ni kama paka na panya..
 
Anakubalika kwa mafisadi na wapokea rushwa akina Chenge, Tibaijuka, Ngeleja, Rostam Aziz na wengineo. Wenye mapenzi ya kweli na Tanzania hawamkubali huyu fisadi.

Nimepata wakati mgumu kufikiri kwanini ccm imemtema lowassa tena kwa kuvunja katiba ya chama kwa kuwasilisha majina pungufu kwenye kamati kuu kwa ajili ya mchujo,ikumbukwe kwa mujibu wa kanuni majina yote yanatakiwa yawasilishwe pale!

Lowassa anakubalika ndaani na nje yaa chama,japo kuna watu walishachoka ccm na kwenda upinzani lakini bado wana imani na mtu huyu:

Sasa CCM wamemuacha vp mtu huyu hata kwenye tano bora wakati ndiye mgombea aliyekusanya wadhamini wengi na kuungwa mkono kuliko yeyote kati ya watia nia?

Huu waweza kuwa mchezo uliochezwa vizuri kupima upepo ili hata wale walioko upinzani wamuunge mkono lowassa kuwa hakustahili kuenguliwa!Hapa ndipo ngoma itachezwa mpaka,watumwe akina Nchimbi kwenda kutangaza kupinga maamuz ya kamati kuu ili kuwashtua wananchi kuwa lowassa kaonewa!

Then Baadae NEC ipinge maamuzi ya kamati kuu ili kurudisha nafasi kwa mchakato kurudiwa upya na hapa ndipo lowassa apitishwe!

Kwa style hiyo ataungwa mkono na hata wale ambao hawakumhitaji kama angepitishwa in the first place!

Tufikiri nje ya box,if this is the plan bas CCM noma!

Did u see it coming?je,kuna possibility hiyo?

Tusubiri
 
mh mkuu naanza kupata point yako maana kitaa now ni lowassa kaonewa kaonewa mh kama ni kweli itakuwa hvyo basi itakuwa sio akili ya mtu mweusi na ntaamini kuwa ccm ni master mind kweli kweli na nitakuona the most great thinker I haven't meet

thanx mkuu,ndiyo ilikuwa base ya argument yangu!Sasa tusubiri kama vision hii ilikuwa sahihi,hata kama hawakupanga basi wa-take advantage of the situation kurudi kamati kuu!
Sijapenda,ila ukweli usemwe:mbinu hii imekuwa succesful sana!
UKAWA tuna kazi kubwa ya kufanya!
 
Nimepata wakati mgumu kufikiri kwanini ccm imemtema lowassa tena kwa kuvunja katiba ya chama kwa kuwasilisha majina pungufu kwenye kamati kuu kwa ajili ya mchujo,ikumbukwe kwa mujibu wa kanuni majina yote yanatakiwa yawasilishwe pale!

Lowassa anakubalika ndaani na nje yaa chama,japo kuna watu walishachoka ccm na kwenda upinzani lakini bado wana imani na mtu huyu:

Sasa CCM wamemuacha vp mtu huyu hata kwenye tano bora wakati ndiye mgombea aliyekusanya wadhamini wengi na kuungwa mkono kuliko yeyote kati ya watia nia?

Huu waweza kuwa mchezo uliochezwa vizuri kupima upepo ili hata wale walioko upinzani wamuunge mkono lowassa kuwa hakustahili kuenguliwa!Hapa ndipo ngoma itachezwa mpaka,watumwe akina Nchimbi kwenda kutangaza kupinga maamuz ya kamati kuu ili kuwashtua wananchi kuwa lowassa kaonewa!

Then Baadae NEC ipinge maamuzi ya kamati kuu ili kurudisha nafasi kwa mchakato kurudiwa upya na hapa ndipo lowassa apitishwe!

Kwa style hiyo ataungwa mkono na hata wale ambao hawakumhitaji kama angepitishwa in the first place!

Tufikiri nje ya box,if this is the plan bas CCM noma!

Did u see it coming?je,kuna possibility hiyo?

Tusubiri

Kaka kama vile upo akilini kwangu hakuna namna ccm watakavyomkwepa lowasa hususani turufu ya kura za bara dah kwenye Nec kikwete katia huruma sana ktendo ha wanec kuimba tuna iman na lowasa
 
thanx mkuu,ndiyo ilikuwa base ya argument yangu!Sasa tusubiri kama vision hii ilikuwa sahihi,hata kama hawakupanga basi wa-take advantage of the situation kurudi kamati kuu!
Sijapenda,ila ukweli usemwe:mbinu hii imekuwa succesful sana!
UKAWA tuna kazi kubwa ya kufanya!

Dah naomba mungu sana wasije kuwa wamefikilia namna hiyo maana wataaribu sherehe yetu dah mkuu u r really good in deep thinking heeeee mungu utuepushie kikombe hiki
 
Nimepata wakati mgumu kufikiri kwanini ccm imemtema lowassa tena kwa kuvunja katiba ya chama kwa kuwasilisha majina pungufu kwenye kamati kuu kwa ajili ya mchujo,ikumbukwe kwa mujibu wa kanuni majina yote yanatakiwa yawasilishwe pale!

Lowassa anakubalika ndaani na nje yaa chama,japo kuna watu walishachoka ccm na kwenda upinzani lakini bado wana imani na mtu huyu:

Sasa CCM wamemuacha vp mtu huyu hata kwenye tano bora wakati ndiye mgombea aliyekusanya wadhamini wengi na kuungwa mkono kuliko yeyote kati ya watia nia?

Huu waweza kuwa mchezo uliochezwa vizuri kupima upepo ili hata wale walioko upinzani wamuunge mkono lowassa kuwa hakustahili kuenguliwa!Hapa ndipo ngoma itachezwa mpaka,watumwe akina Nchimbi kwenda kutangaza kupinga maamuz ya kamati kuu ili kuwashtua wananchi kuwa lowassa kaonewa!

Then Baadae NEC ipinge maamuzi ya kamati kuu ili kurudisha nafasi kwa mchakato kurudiwa upya na hapa ndipo lowassa apitishwe!

Kwa style hiyo ataungwa mkono na hata wale ambao hawakumhitaji kama angepitishwa in the first place!

Tufikiri nje ya box,if this is the plan bas CCM noma!

Did u see it coming?je,kuna possibility hiyo?

Tusubiri
Kwenye si-hasa anything can happen! There is no permanent enemy/friend! Inawezekana kabisa ikawa ndio mango wenyewe!
 
Dah naomba mungu sana wasije kuwa wamefikilia namna hiyo maana wataaribu sherehe yetu dah mkuu u r really good in deep thinking heeeee mungu utuepushie kikombe hiki

mkuu na lengo la mimi kuuweka uzi huu hapa mapema kabisa ni baada ya kuona wadau wengi wanaanza kufall in love na Lowassa out of sympath,nikaona pia hakuna anayeangalia other possibilities!Hata wahariri walioalikwa leo Azam tv nikaona nao wamejaa wazima wazima!
Mpaka sasa kikao kimeahirishwa wakati ilikuwa warejee saa 10
 
Kwa sasa Lowasa ndio mtu maarufu Tanzania.

Wachache wanajadili hao waliopenya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom