Kama ni kweli basi CCM ni master mind na imefanikiwa!

Kama ni kweli basi CCM ni master mind na imefanikiwa!

lowasa kashapotea tayari hata iweje. kwisha habari yake. ccm hawana jipya
 
kakatwa kihalali, hata ningekuwa mm ndo mwenyekiti ningemkata

sawa,vp kama amekatwa kwa mpango mahususi wa kumrudisha baadae NEC ikirudisha mchakato upya!Ndugu hoja yangu umeielewa?Wasiwasi wangu ni kuwa tumepigwa changa la macho.Kuwa game haijaisha
 
Hio n vita ya ukatoliki na uanglikana,wenye washa sema mkatoliki ndo atawale,nyie pigeni kelele lkn siasa ya tz inaamuliwa mezani mpaka upinzani wanajua.
 
kwanini watu wanahofia kukatwa!!LOWASSA anamwangilia KIKWETE kwa gadhabu kubwa mpaka nimeogopa!!
 
kwanini watu wanahofia kukatwa!!LOWASSA anamwangilia KIKWETE kwa gadhabu kubwa mpaka nimeogopa!!

hivi mfano NEC ikiamuru mchakato haukufata kanuni na urudiwe,lowassa akapitishwa,huoni hii itampaisha zaidi kisiasa kuliko kama angepitishwa kihalali?
Hoja yangu ni kuwa maelezo yangu hapo juu sio bahata mbaya bali ni mbinu ya kumboost lowassa kisiasa katika mkakati wa ccm kuhakikisha inabaki madarakani
 
Kwngu mimi ikiwa Magamba wangekosa mgombea miongoni mwao kisha kupata nafasi ya kwenda kwa Mwenyezi Mungu ambaye kwa kuwahurumia akaamua kuwaazima Malaika Gabrieli aje awe mgombea wao, bado ningemyima kura Malaika huyu kwa kitendo cha kukubali kuingia kwenye kinyesi!
 
Jamaa umewaza mbali sana hakuna kitu km hicho utakuwa sasa ni mchezo wa kuigiza
 
Nimepata wakati mgumu kufikiri kwanini ccm imemtema lowassa tena kwa kuvunja katiba ya chama kwa kuwasilisha majina pungufu kwenye kamati kuu kwa ajili ya mchujo,ikumbukwe kwa mujibu wa kanuni majina yote yanatakiwa yawasilishwe pale!

Lowassa anakubalika ndaani na nje yaa chama,japo kuna watu walishachoka ccm na kwenda upinzani lakini bado wana imani na mtu huyu:

Sasa ccm wamemuacha vp mtu huyu hata kwenye tano bora wakati ndiye mgombea aliyekusanya wadhamini wengi na kuungwa mkono kuliko yeyote kati ya watia nia?

Huu waweza kuwa mchezo uliochezwa vizuri kupima upepo ili hata wale walioko upinzani wamuunge mkono lowassa kuwa hakustahili kuenguliwa!Hapa ndipo ngoma itachezwa mpaka,watumwe akina Nchimbi kwenda kutangaza kupinga maamuz ya kamati kuu ili kuwashtua wananchi kuwa lowassa kaonewa!
Then Baadae NEC ipinge maamuzi ya kamati kuu ili kurudisha nafasi kwa mchakato kurudiwa upya na hapa ndipo lowassa apitishwe!
Kwa style hiyo ataungwa mkono na hata wale ambao hawakumhitaji kama angepitishwa in the first place!
Tufikiri nje ya box,if this is the plan bas ccm noma!

Did u see it coming?je,kuna possibility hiyo?

Tusubiri

Usijepe matumaini ambayo hayapo, Lowassa AMEKATWA but sad enough na yeye (Lowassa) amekubali KUKATIKA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom