Kama ni kweli basi CCM ni master mind na imefanikiwa!

Bome-e

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
17,202
Reaction score
26,267
Nimepata wakati mgumu kufikiri kwanini ccm imemtema lowassa tena kwa kuvunja katiba ya chama kwa kuwasilisha majina pungufu kwenye kamati kuu kwa ajili ya mchujo,ikumbukwe kwa mujibu wa kanuni majina yote yanatakiwa yawasilishwe pale!

Lowassa anakubalika ndaani na nje yaa chama,japo kuna watu walishachoka ccm na kwenda upinzani lakini bado wana imani na mtu huyu:

Sasa CCM wamemuacha vp mtu huyu hata kwenye tano bora wakati ndiye mgombea aliyekusanya wadhamini wengi na kuungwa mkono kuliko yeyote kati ya watia nia?

Huu waweza kuwa mchezo uliochezwa vizuri kupima upepo ili hata wale walioko upinzani wamuunge mkono lowassa kuwa hakustahili kuenguliwa!Hapa ndipo ngoma itachezwa mpaka,watumwe akina Nchimbi kwenda kutangaza kupinga maamuz ya kamati kuu ili kuwashtua wananchi kuwa lowassa kaonewa!

Then Baadae NEC ipinge maamuzi ya kamati kuu ili kurudisha nafasi kwa mchakato kurudiwa upya na hapa ndipo lowassa apitishwe!

Kwa style hiyo ataungwa mkono na hata wale ambao hawakumhitaji kama angepitishwa in the first place!

Tufikiri nje ya box,if this is the plan bas CCM noma!

Did u see it coming?je,kuna possibility hiyo?

Tusubiri
 
JF rudisheni accessibility ya JF kwa guest? Kwa nini muda huu tu?, mbona siku zingine access ipo?
 
Nimepata wakati mgumu kufikiri kwanini ccm imemtema lowassa tena kwa kuvunja katiba ya chama kwa kuwasilisha majina pungufu kwenye kamati kuu kwa ajili ya mchujo,ikumbukwe kwa mujibu wa kanuni majina yote yanatakiwa yawasilishwe pale!

Lowassa anakubalika ndaani na nje yaa chama,japo kuna watu walishachoka ccm na kwenda upinzani lakini bado wana imani na mtu huyu:

Sasa ccm wamemuacha vp mtu huyu hata kwenye tano bora wakati ndiye mgombea aliyekusanya wadhamini wengi na kuungwa mkono kuliko yeyote kati ya watia nia?

Huu waweza kuwa mchezo uliochezwa vizuri kupima upepo ili hata wale walioko upinzani wamuunge mkono lowassa kuwa hakustahili kuenguliwa!Hapa ndipo ngoma itachezwa mpaka,watumwe akina Nchimbi kwenda kutangaza kupinga maamuz ya kamati kuu ili kuwashtua wananchi kuwa lowassa kaonewa!
Then Baadae NEC ipinge maamuzi ya kamati kuu ili kurudisha nafasi kwa mchakato kurudiwa upya na hapa ndipo lowassa apitishwe!
Kwa style hiyo ataungwa mkono na hata wale ambao hawakumhitaji kama angepitishwa in the first place!
Tufikiri nje ya box,if this is the plan bas ccm noma!

Did u see it coming?je,kuna possibility hiyo?

Tusubiri

No way not a chance! Kuna uhasama mkubwa kati ya Lowassa na JK,chanzo ni kashfa ya Richmond iliyopelekea Lowassa kujiuzulu,to make things even worse ni kitendo cha Nape kuzunguka mikoani kumwita Lowassa ni fisadi huku JK akimwacha,mbaya zaidi ni hujuma waliyomfanyia Lowassa ktk uchaguzi mdogo wa ubunge ArumeruMaMashariki ambapo mkwe wa Lowassa Siowi Sumari alipigwa chini.Hapa hakuna maigizo,ndiyo hali halisi ilivyo.
 
low-hasa kutumika kugawa kula za ukawa, il CCM IPATE NAFUU YA KUSHINDA.
atagombea kupitia ACT ili kuua nguvu ya ukawa.
 
jf leo mnachokifanya siyo kabisa hata wageni wanapaswa kutembea humu....
 
Mumejiamini sana kwa kusema EL anakubalika ndani na nje ya chama:

Anakubalika na akina nani kati ya hao wanachama milioni 2 na ushei wa CCM? Na wale waliopewa mshiko mkali wa kupiga debe.

Hata mimi ningepewa mshiko basi ningepiga kelele za kumkubali, ni njaa tu ndiyo inayofanya yawe hayo.
 
No way not a chance! Kuna uhasama mkubwa kati ya Lowassa na JK,chanzo ni kashfa ya Richmond iliyopelekea Lowassa kujiuzulu,to make things even worse ni kitendo cha Nape kuzunguka mikoani kumwita Lowassa ni fisadi huku JK akimwacha,mbaya zaidi ni hujuma waliyomfanyia Lowassa ktk uchaguzi mdogo wa ubunge ArumeruMaMashariki ambapo mkwe wa Lowassa Siowi Sumari alipigwa chini.Hapa hakuna maigizo,ndiyo hali halisi ilivyo.

unachukuliaje suala la kundi la akina Nchimbi?Je ni watu ambao wanaweza kutoa siri za kamati kuu?Ni watu wa aina hiyo
 
Haya mnasikia nyimbo hizo huko ukumbini
 
No way not a chance! Kuna uhasama mkubwa kati ya Lowassa na JK,chanzo ni kashfa ya Richmond iliyopelekea Lowassa kujiuzulu,to make things even worse ni kitendo cha Nape kuzunguka mikoani kumwita Lowassa ni fisadi huku JK akimwacha,mbaya zaidi ni hujuma waliyomfanyia Lowassa ktk uchaguzi mdogo wa ubunge ArumeruMaMashariki ambapo mkwe wa Lowassa Siowi Sumari alipigwa chini.Hapa hakuna maigizo,ndiyo hali halisi ilivyo.

Pia angalia DC wa Kinondoni alivyokuwa anajitapa wazi wazi namna ile kuhusu LOWASA, hawa walishayajua haya kitambo sana.
 
mh sijakuelewa unasema lowassa anakubalika nje na ndani ya chama je waliomkata wametoka wapi?

mkuu soma taratibu uzi wangu,hujaelewa hoja!soma mpaka mwisho,ninachosema hapa huu ni mpango!
 
Back
Top Bottom