Mtu na nusu
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 636
- 1,115
Waziri anazidi kunipa sababu kwa Nini sitaoa kwa mahali
VyovyoteSamahani wakuu hivi ni "mahali" au "mahari"?
Nikutokee mahari then nisikufumanie!!Mahari na fumanizi vina uhusiano gani?.
Nasikia Ni ugaidi kudai katiba mpyaTunaomba katiba mpya
Msipotoshe kasema awe mke wako halali au unacheti cha ndoa na kisheria mke halali anafahamika , huwezi kwenda kufumania hawalaWaziri anazidi kunipa sababu kwa Nini sitaoa kwa mahaliView attachment 1883709
Vp wanaoishi 15 yrs bila ndoaMsipotoshe kasema awe mke wako halali au unacheti cha ndoa na kisheria mke halali anafahamika , huwezi kwenda kufumania hawala
Samahani wakuu hivi ni "mahali" au "mahari"?
Ni mhari.Mahari
MahariNi mhari.
Umesoma andiko langu vizuri? Kisheria mke halali anafahamika na waziri kasema awe mke/mume halali au unacheti cha ndoa.Vp wanaoishi 15 yrs bila ndoa
Nao Ni mahawala?
Acha upumbavu. Tena siku nyingine usirudie kuandika upuuzi kama huu. Usihalalishe makosa kwa hoja eti "kikubwa umeelewa"Vyovyote
Kikubwa umeelewa
Sijui wananchi wa kawaida tutakuaje Kama mawaziri wako hivi.Huyu waziri mbona anahangaika na minor issues kwa nafasi yake kama Waziri, very shame
Yani ujinga wafumanizi ndio kipaumbele chake Mambo ya msingi hatolei maelezo au kwa vile na yeye alifumaniwaga?Sijui wananchi wa kawaida tutakuaje Kama mawaziri wako hivi.
Sasa mahari ndo kufuli? Wewe usioe tu.Nikutokee mahari then nisikufumanie!!
Itakua naumwa
mahali ni 'place', mahari ni 'dowry'Samahani wakuu hivi ni "mahali" au "mahari"?
Tafuta cheti cha ndoa utembee nachoNikutokee mahari then nisikufumanie!!
Itakua naumwa