Mwkjj,
Hiyo ni nyingine ktk nyingi q'nable & losing position unachukua bila kutumia fikra 'sahihi' zako kama kweli unazo!! Kula itapigwa vipi na kuwa fair, ilihali inajulikana kwamba kuna lukuki la memberz hapa ambao wana id's zaidi ya moja? Kura hizi zitapigwa kwa muda gani? Ni asilimia gani minimum ya members wanaotakiwa kupiga kura, ili matokeo hayo yawe halali?
Na maswali mengi mengine!!! Wewe ama kweli umeanza kuleta vioja na hiyo janja yako ya "kwapa kunuka bila kidonda." Unadhani kwamba umekomaa, lakini "sisi" vyongo viona mbali, hasa mie nimeona fatal weaknesses kwa upande wako ktk siku hizi chache zilizopita... Moja wapo ni upofu wako wa makusudi/wakujitakia wa kutokuona kwamba ngono ni hoja halali ktk midani za kisiasa!! Si tu kwamba ni halali bali kwa wale wanaokuwa na maadili ni winning tool popote pale dunia.
Sina muda, mambo ya ED friday night... Lakini whatever itakavyokuwa matokeo ya kura hii hayatakuwa halali, yatakuwa yapo tainted, na badala ya kuboresha kama myopic minded wanavyodhani itakuwa a total opposite!!!! Watu hapa inabidi tu wawe civil, watu wajifunze to agree to disagree... Mstari lazima uchorwe, na tofauti ziwe za dhahiri badala ya viini macho.
UPINZANI Tanzania unashindwa mara nyingi kwasababu wananchi hawaoni tofauti kati yake na CCM. Hii ni kimaadili ya kiserikali na yale ya kijamii. Mbowe fuska, Kikwete fuska, wote wawili pia mafisadi, wewe unafikiri mwisho wa siku nani atachaguliwa? Lazima tofauti ziwepo, wanaohitajika ni watu safi!!! Hata kwa mungu ngono ni dhambi kubwa kushinda kura rushwa au ufisadi wa kusaini mkataba mbovu!!! Ebo, where is the ambiguity? I go nuts kwamba watu hawaelewi kitu simple kama hii.
Ufuska wa viongozi ni halali kuzungumziwa ktk hii political battle kama mabadiliko ya kweli yanategemewa!!!!! Cheerz, weekend njema everybody. American Gangster, now playin' in the theatre near you!! Adios, muchas gracias.