Kama Ngosha angekuwepo, yule jamaa bonge Mzimbabwe angetia mguu wake kweli hapo Ikulu?

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,064
Reaction score
136,421
What the helly JF massive?

Naona kama vile tunarudi nyuma kitaifa.

Hivi ni mimi tu au na nyie mnaona kama nionavyo mimi?

Endapo kama taarifa zote za kuuhusu ufisadi wa serikali iliyopo ni za kweli, ndo basi tena. Hatuna nchi.

Kilichopo ni personal fiefdom ya Samia and Co.

Mpaka kufikia 2030, chochote kidogo kilochobaki, hakitakuwepo tena.

Sikumbuki kabisa kipindi cha Magufuli kuona magari ya kifahari yanayohusishwa moja kwa moja na mtoto wa Rais na genge lake.

Sikumbuki kabisa kuwaona watoto wa Magufuli wakituhumiwa kusukuma ndinga za bei mbaya.

Kama ilitokea, basi nilipitwa. Au labda walikuwa wanaendesha kwa siri sana.

Ma RR, Ferrari, Bugatti, na kadhalika, yote hayo yanahusishwa na watu wa karibu sana na Samia!

Watu walio na makandokando ya ufisadi, Samia anawakaribisha sebuleni kwake halafu anakumbatiana nao, wanapiga na picha na kuzirusha kwenye mitandao.

Baadhi ya hizo picha zinalionyesha hilo li Zimbabwe likiwa limejiachia kwa raha utadhani lipo nyumbani kwake.

Magufuli naye alituhumiwa kwa mambo ya ufisadi, lakini mimi mpaka leo hii, sijawahi kuona ushahidi wowote ule ulio tangible.

Sijawahi kumwona Jesca Magufuli akiendesha Ferrari.

Sijawahi kumwona yule wa kiume, kaka yake na Jesca, akiendesha Bentley.

Hivi, huyu tipwatipwa wa Kizimbabwe angethubutu kweli kwenda nyumbani kwa Magufuli na kujiachia na kujitanua kama alivyofanya sebuleni kwa Samia?

Mambo kama haya kwa nini hatukuyaona wakati Magufuli akiwa Rais?

Kwa nini sasa hivi yameshamiri?

Hayo magari ya kifahari anayoyamiliki Abduli, kwa nini hatukuyaona kipindi mamake akiwa makamu wa Rais?

Kayanunua ndani ya hii miaka 4 ya mamake kuwa Rais?

Kidogo kidogo Ngosha mtamuelewa tu.

Alikuwa na mapungufu mengi.

Lakini naamini kabisa moyo wake na dhamira yake vilikuwa vimelenga pazuri.

Hii contrast iliyopo sasa hivi kati ya Samia na Magufuli, inaongea mengi sana.
 
Hata asingefikiria kufanya hivyo
 
images.jpeg
 
Ngosha naye alikuwa na upuuzi wake. Kama alimruhusu Musiba kuivunjia hadhi ikulu na kuifanya kuwa sawa na ukumbi wa DDC wa kukatia mauno, asingeshindwa kumkaribisha huyo choko wa Zimbabwe.

Tangu 2015 Tanzania haijawahi kuwa na rais
 
What the helly JF massive?

Naona kama vile tunarudi nyuma kitaifa.

Hivi ni mimi tu au na nyie mnaona kama nionavyo mimi?

Endapo kama taarifa zote za kuuhusu ufisadi wa serikali iliyopo ni za kweli, ndo basi tena. Hatuna nchi.

Kilichopo ni personal fiefdom ya Samia and Co.

Mpaka kufikia 2030, chochote kidogo kilochobaki, hakitakuwepo tena.

Sikumbuki kabisa kipindi cha Magufuli kuona magari ya kifahari yanayohusishwa moja kwa moja na mtoto wa Rais na genge lake.

Sikumbuki kabisa kuwaona watoto wa Magufuli wakituhumiwa kusukuma ndinga za bei mbaya.

Kama ilitokea, basi nilipitwa. Au labda walikuwa wanaendesha kwa siri sana.

Ma RR, Ferrari, Bugatti, na kadhalika, yote hayo yanahusishwa na watu wa karibu sana na Samia!

Watu walio na makandokando ya ufisadi, Samia anawakaribisha sebuleni kwake halafu anakumbatiana nao, wanapiga na picha na kuzirusha kwenye mitandao.

Baadhi ya hizo picha zinalionyesha hilo li Zimbabwe likiwa limejiachia kwa raha utadhani lipo nyumbani kwake.

Magufuli naye alituhumiwa kwa mambo ya ufisadi, lakini mimi mpaka leo hii, sijawahi kuona ushahidi wowote ule ulio tangible.

Sijawahi kumwona Jesca Magufuli akiendesha Ferrari.

Sijawahi kumwona yule wa kiume, kaka yake na Jesca, akiendesha Bentley.

Hivi, huyu tipwatipwa wa Kizimbabwe angethubutu kweli kwenda nyumbani kwa Magufuli na kujiachia na kujitanua kama alivyofanya sebuleni kwa Samia?

Mambo kama haya kwa nini hatukuyaona wakati Magufuli akiwa Rais?

Kwa nini sasa hivi yameshamiri?

Hayo magari ya kifahari anayoyamiliki Abduli, kwa nini hatukuyaona kipindi mamake akiwa makamu wa Rais?

Kayanunua ndani ya hii miaka 4 ya mamake kuwa Rais?

Kidogo kidogo Ngosha mtamuelewa tu.

Alikuwa na mapungufu mengi.

Lakini naamini kabisa moyo wake na dhamira yake vilikuwa vimelenga pazuri.

Hii contrast iliyopo sasa hivi kati ya Samia na Magufuli, inaongea mengi sana.
Ikulu sasa imekuwa pango la wanyang'anyi.
 
Mkuu mimi sinaga UNAFIQ, Tumempoteza Magufuli hakika tumempoteza RAIS ambaye kwa mwenye akili timamu alikuwa atuvushe pakubwa sana. Si bure leo hii kama angekuwepo tungeweza kulingana na KENYA kiuchumi

Huyu Dogo Kibonge angewezaje kujiachia na kukenua mbele ya Magufuli? Kwanza angekuja kwa lengo lipi hasa atoboe kirahisi mpaka kufika ofisi ya Rais Ikulu? Sisi hata hatujui kilichomleta ni nini mpaka sasa

Again, Hakuna Ushahidi wowote wa Ufisadi wa Magufuli ...la sivyo miliki zake zingeshawekwa hadharani kwa jinsi alivyokuwa na maadui...So if he was not 100% Innocent, he was 80%

So, ina nutshell Huyu Dogo asingeweza kufanya hivyo kwa Magu.
 
What the helly JF massive?

Naona kama vile tunarudi nyuma kitaifa.

Hivi ni mimi tu au na nyie mnaona kama nionavyo mimi?

Endapo kama taarifa zote za kuuhusu ufisadi wa serikali iliyopo ni za kweli, ndo basi tena. Hatuna nchi.

Kilichopo ni personal fiefdom ya Samia and Co.

Mpaka kufikia 2030, chochote kidogo kilochobaki, hakitakuwepo tena.

Sikumbuki kabisa kipindi cha Magufuli kuona magari ya kifahari yanayohusishwa moja kwa moja na mtoto wa Rais na genge lake.

Sikumbuki kabisa kuwaona watoto wa Magufuli wakituhumiwa kusukuma ndinga za bei mbaya.

Kama ilitokea, basi nilipitwa. Au labda walikuwa wanaendesha kwa siri sana.

Ma RR, Ferrari, Bugatti, na kadhalika, yote hayo yanahusishwa na watu wa karibu sana na Samia!

Watu walio na makandokando ya ufisadi, Samia anawakaribisha sebuleni kwake halafu anakumbatiana nao, wanapiga na picha na kuzirusha kwenye mitandao.

Baadhi ya hizo picha zinalionyesha hilo li Zimbabwe likiwa limejiachia kwa raha utadhani lipo nyumbani kwake.

Magufuli naye alituhumiwa kwa mambo ya ufisadi, lakini mimi mpaka leo hii, sijawahi kuona ushahidi wowote ule ulio tangible.

Sijawahi kumwona Jesca Magufuli akiendesha Ferrari.

Sijawahi kumwona yule wa kiume, kaka yake na Jesca, akiendesha Bentley.

Hivi, huyu tipwatipwa wa Kizimbabwe angethubutu kweli kwenda nyumbani kwa Magufuli na kujiachia na kujitanua kama alivyofanya sebuleni kwa Samia?

Mambo kama haya kwa nini hatukuyaona wakati Magufuli akiwa Rais?

Kwa nini sasa hivi yameshamiri?

Hayo magari ya kifahari anayoyamiliki Abduli, kwa nini hatukuyaona kipindi mamake akiwa makamu wa Rais?

Kayanunua ndani ya hii miaka 4 ya mamake kuwa Rais?

Kidogo kidogo Ngosha mtamuelewa tu.

Alikuwa na mapungufu mengi.

Lakini naamini kabisa moyo wake na dhamira yake vilikuwa vimelenga pazuri.

Hii contrast iliyopo sasa hivi kati ya Samia na Magufuli, inaongea mengi sana.
Huyo si ndio yuleyule ambaye zilienea clips akiwa anagawa dollars Airport hapo Dar kwa air hostesses na staffs?
 
Back
Top Bottom