Chapa Nalo Jr
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 7,520
- 6,517
unamshukuru Mungu kwa kukujulisha siri. baada ya hapo unatafuta amani kwanza na mkeo kisha na huyo mwizi. kumbukeni imeandikwa kuwa "ndoa na iheshimiwe na watu wote na malazi yawe safi", na pia "tafuteni kuwa na amani na watu wote na huo utakatifu ambao hakuna atakayemona Mungu asipokuwa nao". kwa kifupi hakuna haja ya magomvi, hayasaidii kitu. tunapaswa kuushinda ubaya kwa wema
mwanaume unapaswa kuandika talaka hapo hapo,unamkabidhi kisha UNAWAFUKUZIA mbali wote wawili!,haiwezekani wakafanyia uchafu wao ndani ya himaya yako!!!.....[/COLOR][/SIZE][/FONT]
oHivi talaka inaandikwaje? I mean contents za talaka zikoje? Naomba msaada...! Inatakiwa isainiwe? Iwe na tarehe? Kosa alilotenda unaliezeaje?
mbona hakuna kitu?
fidia ?Lakini dada kumbuka hata Paulo katika Biblia(sikumbuki mstari) amekataza watu kuachana ila katika suala la uzinzi hata yeye kigugumizi kilimshika.
Ok, msimamo wangu: Mimi nitamsamehe tu ila sitataka iwe siri kuu, lazima tuitane ndugu kadhaa(wachache tu) wa pande zote wafahamishwe kilichotokea na yeye atubu mbele ya hao ndugu. Lakini kabla ya kuita ndugu nitamuuliza kama bado anapenda kuendelea na mimi au kakolea kwa mgoni wangu, kwani naogopa kusamehe mke ambaye moyoni kumbe hanipendi tena. Baada ya yote nitamfuata mgoni wangu na kutaka fidia ya alichokifanya maana nikimkalia kimya atajiona mshindi ili hata akirudia tena kuwe na record tayari. Mengine yatategemea jinsi hali itakavyokua.
Huo ni mchezo wa kuigiza
Unawapiga picha then waenda mahakamani kuwashtaki upate talaka na fidia katika Hali Kama hiyo mke anakosa haki
mwanaume unapaswa kuandika talaka hapo hapo,unamkabidhi kisha UNAWAFUKUZIA mbali wote wawili!,haiwezekani wakafanyia uchafu wao ndani ya himaya yako!!!.....
***Najua utakuwa na nyumba ndogo mahali,sasa ni muda muafaka wa kuwaza kuifanya iwe nyumba kubwa!!!!..:redfaces::redfaces::redfaces: cha muhimu ni kujikagua wapi ulikosea ili makosa km hayo yasijirudie tena.[/COLOR]
mh we mchaga?
so pbm ni fidia n nt love?relation?ni KWAMBA WALIPE TU FIDIA+USHAIDI WA PICHA BAS MKE HAAMBULII KITU?
Mweeeee na ukimkuta mkeo yupo ft haitaji ivo vikoch na jiko la ges HAITAKUUMA ZAID?
NIAMBIWA ETI JAMAA ALIJIFANYA ANACHUKUA TAI ALIYO ISAHAU NA KAMA HAKUWAONA VILE.
USILIPIZE KIASASI BALI LIPA UBAYA KWA WEMA.
hapo watu wa jamhuri ya tarime wanasema 'bhita ni bhita' yaani vita ni vita lazima nivue suti nipigane
Unawapiga picha then waenda mahakamani kuwashtaki upate talaka na fidia katika Hali Kama hiyo mke anakosa haki
unamshukuru Mungu kwa kukujulisha siri. baada ya hapo unatafuta amani kwanza na mkeo kisha na huyo mwizi. kumbukeni imeandikwa kuwa "ndoa na iheshimiwe na watu wote na malazi yawe safi", na pia "tafuteni kuwa na amani na watu wote na huo utakatifu ambao hakuna atakayemona Mungu asipokuwa nao". kwa kifupi hakuna haja ya magomvi, hayasaidii kitu. tunapaswa kuushinda ubaya kwa wema
mwanaume unapaswa kuandika talaka hapo hapo,unamkabidhi kisha UNAWAFUKUZIA mbali wote wawili!,haiwezekani wakafanyia uchafu wao ndani ya himaya yako!!!.....
***Najua utakuwa na nyumba ndogo mahali,sasa ni muda muafaka wa kuwaza kuifanya iwe nyumba kubwa!!!!..:redfaces::redfaces::redfaces: cha muhimu ni kujikagua wapi ulikosea ili makosa km hayo yasijirudie tena.
Mimi hapatakalika hapo! ni vumbi tuu. :embarrassed:
unaendelea na shughuli zako tu kama hakuna kilichotokea.
mh we mchaga?
so pbm ni fidia n nt love?relation?ni KWAMBA WALIPE TU FIDIA+USHAIDI WA PICHA BAS MKE HAAMBULII KITU?
Mweeeee na ukimkuta mkeo yupo ft haitaji ivo vikoch na jiko la ges HAITAKUUMA ZAID?
Watu wa hivyo unawaacha tu, unamwachia mungu adili nao. What goz arnd cms arnd.