Kama ndio wewe ungefanyaje?

Kama ndio wewe ungefanyaje?

u mwenye busara.


332046_nl5_jpg0dd4c2f1096b4f91a04eaa32128ba760
 
mweeeeeee!!
raha 2pu..watoto rang nyngiiiiiiiiiiiiii...............!!!!!!!!!!!

Hahahaha inabidi na huyu aone raha kwa mke kumzalia watoto wa rangi nyingi lol
 

Attachments

  • father joseph.jpeg
    father joseph.jpeg
    140.5 KB · Views: 137
Duh kwani ile case ya wanigeria nayo vipi? si kama hiy tu
 
natafuta kimwali mororooo mwenye mtindi kama ndimu namleta home naendelea kutafuna:msela:
 
Kwa dunia ya sasa hutakiwi kupanic ghafla na kutoa judgment kwa kutegemea macho yako tu. Kuna njia za uhakika zaidi kujiridhisha kwamba huyo kiumbe si wako DNA as the most reliable. Ila bibie anaonekana mapepe! the guy should have know it! lol!
 
Mweh,wanaume kazi tunayo maana hata hao wa rangi zetu wenyewe bado wanachakachuliwa..
 
Back
Top Bottom