- Thread starter
- #21
Eeeh wanafundisha painting.Nitafanya hivyo.
Wanafundisha painting pale?
Eeeh wanafundisha painting.Nitafanya hivyo.
Wanafundisha painting pale?
Sawa sawaUmejitahidi nimeipenda. Endelea kushusha stori na stori
Enjoy mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]
Hata ndio maoni yangu mkuu.
unakuwaje kijana halafu mpole tena 😀Iyo ni characterization mkuu, hakuna tatizo
Anapenda kujiita kijana mpole 😁😁unakuwaje kijana halafu mpole tena 😀
Asante kwa kusoma yote mkuuStory nzuri
Sindio iyo baja zinakuwaga na mlio balaa ukikaa ukiwa unaendesha unaskia kupaa [emoji23]Nimependa tu ulivyoride hyo baja na ile milio inatiaga mzuka mno
Mkuu wewe uje PM ni nani amekupa hizi taarifa [emoji28]Jina: kijana mpole/Sammy
Combination; EGM
Shule: lyamungo
Mwaka; 2018-2020
Bweni:. Aggrey
Nimecheka kinoma kaka [emoji16][emoji16][emoji16]
Chindo yuko ulaya mkuuDadeq! We chaliii upo[emoji16][emoji16][emoji16]
Msalimie chindoman[emoji16][emoji16]
🤣🤣🤣Mi nlivoona umetaja ile mitaa nliconnect doti fresh, mi chalii wa hzo location! File lako ninalo hapa usidanganye ni story hii ni ukwel chalianguMkuu wewe uje PM ni nani amekupa hizi taarifa [emoji28]
Acha zako bas! Mara mwisho nliskia yupo UDOM.... Mi enyw natazamia kutimba kwa madiba nimechoka hii ardhi ya TzChindo yuko ulaya mkuu
Hizi taarifa zipuuze hazina ukweli wowote mkuu, niliweka kunogesha stori ila uje PM useme hizi taarifa za kijana wangu umetolea wapi [emoji23].[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mi nlivoona umetaja ile mitaa nliconnect doti fresh, mi chalii wa hzo location! File lako ninalo hapa usidanganye ni story hii ni ukwel chaliangu
Inaendelea mkuu ntaiweka hapa hapa ndani ya kuu uzi.Endelea na love story nzuri