hehehe hii sredi imekaa kama wimbo wa rusha roho a.k.a mipasho. wapi mzee yussuf aweke chorus?. acha nisepe!. klorokwini iz not richebo in zis useless sredi.
Kwa hiyo wewe watimiziwa chumbani kwa mke mwenzio? Kweli unajiheshimu dada yangu.
Nikwambie siri
Huyo mke mwenzio siku akiamua kumchanganya mumeo kwa mahaba wewe pasi yako ni rahisi kufutika maana imeandikwa kwa penseli. na kwa maana hiyo anakuja kwako kupoza mapungufu anayoyapata kwa mkewe au kwenye familia yake. ukubali usikubali MAPOZEO ni wewe na wewe utabaki MAPOZEO na vile vile ukishachuja litatafutwa POZEO lingine au atarudi kwa mkewe. Hakunaga nyumba ndogo ya daima bibie!!
Dah Sophy we ni Member wa blog ya U-turn? (mange)
si mpaka niolewe babu wee! na ikitokea nimebahatika hivyo nakuapia hakuna wa kumchukua mume wangu, nazijua mbinu zote! Kwa taarifa yako niliyenaye ananiambia kila kitu kinachotokea huko kwake na mkewe hadi yanamshinda. Na mashosti zangu wengine wananisimulia mambo kibao tu, yaani nina elimu acha. Labda tu asitokee wa kunioa, lakini akija kwangu haendi popote nakuapia, makosa yote ya walioolewa nayajua.
Da Sophy ni dhambi kuiba mme wa mwenzio kwa nn usitafute wako??
Post yako imenichosha ingawa ni short lakini msg send
sasa ukitulia nae utapata wako lini? manake anakupotezea tu muda, kukubana anakubana yeye akitoka hapo anaenda kwa mkewe wewe wajilalia cku zinasonga, utapataje wa kwako kwa gia hii?au una malengo yae mengine?
hadi ule mtandao una mpa?? maana nasikia ndo hasa wanachofata huko kwenu......
hadi ule mtandao una mpa?? maana nasikia ndo hasa wanachofata huko kwenu......
si mpaka niolewe babu wee! na ikitokea nimebahatika hivyo nakuapia hakuna wa kumchukua mume wangu, nazijua mbinu zote! Kwa taarifa yako niliyenaye ananiambia kila kitu kinachotokea huko kwake na mkewe hadi yanamshinda. Na mashosti zangu wengine wananisimulia mambo kibao tu, yaani nina elimu acha. Labda tu asitokee wa kunioa, lakini akija kwangu haendi popote nakuapia, makosa yote ya walioolewa nayajua.
Hommie huyu kaja kutuchafulia hewa tu hapa!!Hahaha yawekezekana amepotea njia kwa mtaji huu.
Mamushka sio swali hili kesha sema vyote!! Asitoe TiGo Mchezo!!hadi ule mtandao una mpa?? maana nasikia ndo hasa wanachofata huko kwenu......
Labda tu asitokee wa kunioa, lakini akija kwangu haendi popote nakuapia, makosa yote ya walioolewa nayajua.
Hee msikieni huyu hivi wadhani ni huyo wa kwako tu ndie anayetoa siri za mkewe kwako? Mbona karibia wote wanaocheat hufanya hivyo? So usijidanganye kuwa kwako kafika ndo mana anakuelezea mambo ya familia yake. Ni mbinu tu ya kukufanya uendelee kumpa uroda kwa jina la kukupenda!! Bila kukwambia mkewe kashindwa hiki na kile si utamshangaa kwa nini kakufuata?? pole wee
Hao marafiki wanaokueleza ujinga huo its either mko kwenye kundi moja au wanakucheka ujinga! Kalagha baho. Eti wako hatochukuliwa ah mie unanichosha mpenzi hebu nisepe maana unantia hasira ka vile mume wangu ndo unayetembea naye!!
mmmmh,yaani hata wewe kimey unasema hivyo?Hommie huyu kaja kutuchafulia hewa tu hapa!!
Mamushka sio swali hili kesha sema vyote!! Asitoe TiGo Mchezo!!
Kha naona full maufundi ya uswazi vibwanga kama hivi huwa nasikia Tandale kwa Mtogore, Manzese kwa Mfuga mbwa, tandika, Buguruni huko
Asante sana hebu waeleze maana kuna wengine hadi wana mashutuma ya kijinga basi wanafikiri kila anayetoka na mume wa mtu basi eti changu, kivipi mbona kuna wanawake wengi tu wameolewa na ni machangu wa kutisha, na tupo tusioolewa tumetulia kiheshima zetu na bwana mmoja
Mamushka sio swali hili kesha sema vyote!! Asitoe TiGo Mchezo!!
Unapenda wanaume walio oa? Vp kwa wale ambao hawajaoa?
Naona swali langu la awali limejibilika.