Kama Nairobi wamesema wametoa risasi nane kwa Lissu, lengo la madaktari wa Dodoma kutoa tano ni nini?

Hili swali najiuliza sipati jibu

Baada ya Mbunge Lissu kupigwa risasi alifanyiwa upasuaji na jopo la madaktari, akiwemo Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya. Katika upasuaji huo alitolewa risasi 5 mwilini na kisha kusafirishwa kwa ndege hadi Nairobi.

Alipofika huko alifanyiwa upasuaji takribani mara 2 au 3 na kutolewa risasi 8 zaidi. Je lengo la kuziacha zile risasi nane ilikuwa nini? Maana Kenya zimetolewa nane wakati Dodoma tuliambiwa alipigwa risasi tano, bora wangesema alitolewa tano zimebaki nane.

Rejea mada => Hivi ndivyo risasi nane zilizotolewa mwilini mwa Lissu nchini Kenya, nje ya 5 zilizotolewa pale Dodoma
Kwa hiyo zile sifa mlizowapa madaktari wa Dodoma kwa first aid waliofanya katika Ku stabilize hali ya jamaa mmezifuta or?
 
ndugai ni bumunda tupu, yani nguvu nyingi akili kisoda pamoja na upumbavu wa kutosha. Anajifanya yuko juu ya sheria.
 
Mngempelekea Mashinji angezitoa zote pale ufipa waliompeleka hospital ya Dodoma ndiyo waliopanga kumhujumu ambao Ni CDM wenyewe.
 
Ukawa walikuwa wengi sana pale nje,pangechimbika,yale makoti meupe ungeona yanapepea juu,wangetolewa nduki
Wangepachimba wangekuwa wamekosea, daktari ni mtu wa kutibu tu lakini mponyaji ni mungu,mungu akitaka upone hata daktari kama hataki utapona tu ila kama hajapenda hata daktari akipenda mgonjwa haponi, huwa tutawalaumu madaktari bure mkuu.
 
Back
Top Bottom