Kama mke wako ni pisi Kali na anafanya kazi kwenye makao makuu ya halmashauri au kwa DC nakuapia wale vijana wa idara pendwa wakimtaka hachomoi

Nimekusoma

Ila wanakutanaga na vyuma kuna wanaume

Wengine wakishajua kinguvu hawawezi wao
Wana mshtakia mungu

Kuna mtu alikuwa mzito alikuwa anajipigia mke wa jamaa tena kibabe dharau

Mme akasoteshwa,akaamua kukaa pembeni

Yule kigogo mpk leo mtu wa kukaa kitandani tu

Sijui nn alifanyiwa

Ova
Malipo ni apa2 mbingun ni kuhesabiwa tyu
 
Kulikon mkuu, saa kumi za usiku sasa hivi, uko kitandani unawaza vitu viwili
1. Idara pendwa
2. Pisi kali ya mtu kuliwa

Mkuu maisha mepesi sana if you take it easy, na maisha ni magumu sana if you realy complicate it

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahahaaaaa!
Haya mambo bwana ni shida tupu, akiwa mfanyakazi ndo hivyo. Akiwa mama wa nyumbani kuna mabodaboda na mahouseboy........yaani shida tupu. Kuna comment #3 hapo juu muhimu sana kuishi nayo katika maisha haya.

Mbunye hua hainaga ubabe aisee, ukiotewa ni ama zako ama zake

Pole, mwachishe kazi huko ukizubaa watamchukua kijumla.

Mambo yapo kinyume nyume we ukimtomba mke wa mtu na wako mtaani hachomoki lazima atombwe so ni yale yale tu

Maisha ndivyo yalivyo. Muombe Mungu akupe mwanamke mwenye hekima kwani hutakuwa naye 24/7 .

Sio mke wangu,,,akitoka kuliwa lazima nijue

Kwahyo tusiowe?

Sinning is heroism to the fools only, utombe shimo la mwenzio halafu ujisifie wakati huo shimo lako ukiamiani unatomba mwenyewe? Nuksi za kubeba husambaa. Think twice, thrice etc. Dont f.u.ck others belongings avoid at any cost. Hakuna watu fragile kama hao mbwa habari zikifika kwa wakubwa zao ni doa kubwa sana.

Unaweza usigonge wa mwezio lakini wako akagongwa.
Simba hawezi kukuacha msituni Lisa wewe hauli nyama ya Simba.

Nimejiuliza ni hawa ninaowajua mimi Watu tunadanganywa sana.

Mtu umsaliti Mumeo kisa mfanyakazi wa Idara?

Huyo Mke Uhuni ni tabia yake.

Eehee sawa! ,kwani wanaondoka nayo si wanambakizia mwenye mke,anarudi nayo nyumbani mume nae anatumia!?

Hata wake zao ni wa namna hiyo hiyo na wanakulana sana wao kwa wao hata kama wako kwenye ndoa

Kama ni wa kuliwa, ataliwa tu hata na muuza mkaa

Hata mm nimempongeza yule jamaa wa ile comment sasa ule ndio uanaume. Kama unaishi nyumba ya kupanga halafu kuna wapangaji bachelor hawana mishe za maana muda mwingi wapo magetoni ujue pia umeumia. Chamsingi kula maisha usijitie stress

Si hapo tu,mkeo akiwa ameajiriwa na ana shepu matata, jiandae kisaikolojia

Punguzeni KUOA ili MUACHANE NA MATATIZO.

Sijui ""jiandae kisaikolojia"" sijui "kitanda hakizai haramu" sijui "ukiwa ndani ya ndoa ishi maisha yako"

Sasa mnao huku mkijua kabisa Kuna Majanga kibaoo yanakuja ya nini?

Yaani unatembea porini ukijua kabisa Kuna Simba, HUYAPENDI MAISHA YAKO?

#YNWA
 
Wenzetu mnaoaga wanawake wa wapi? Sina mke ila Nina MPENZI. Nina muamini zaidi ya 100% na ni kisu cha haja with brain.
Naweza kua nae mbali miez hata miwili na hana tatizo na sijawahi ona dalili wala matendo ya uhuni. Kifup ni Mwanamke na Nusu.
Kwa anaebisha mimi najitolea kumpa namba ajaribu aone nachosema. Kifupi ni kisu na nusu
Km umemuumba mwenyewe sawa lkn km jibu ni hapana washkuru mabaharia wanaokusaidia kukulindia ndoa kpnd chote ambacho hua unakua mbal nae
 
Eti wana hela chafu! Hela chafu ni bei gani? Ile million kasoro na posho ya katikati ya mwenzi?
Ila muda mwengine Hawa vijana wa DSO huwa nawaonea wivu hebu fikiria;
Mshahara haukatwi NSSF, PAYE, sijui CHAMA yaani wao ni NHIF tu ndio inakatwa. Hapohapo House allowance juu.

ila sisi wengine kamshahara kadogi ila wanakata makato kibaoo na hakuna allowance yoyotee..!!

serikali ya CCM haijawahi kuwa sawa.

#YNWA
Wanakatwa...
 
Huyo pisi Kali hata boda boda wanawala tu Kama kawaida......na Kama hujui mwanamke kwenye gegedo anafuata wanaume wa hali ya chini. Ndio maana mwanamke akipata hela tu.....hela za jashi halali anajitafutia kamwanaume ka chini kabisa .... Angalia wanaume wenye hela wote ndoa zao zikifa wanawake wao wanaenda kwa watu gani......? Siongelei wanawake wanaoishi kwa nguvu ya papuchi.

Bro ukiwa na mke mzuri imekula kwako hakuna sehem atasalimika
 
Punguzeni KUOA ili MUACHANE NA MATATIZO.

Sijui ""jiandae kisaikolojia"" sijui "kitanda hakizai haramu" sijui "ukiwa ndani ya ndoa ishi maisha yako"

Sasa mnao huku mkijua kabisa Kuna Majanga kibaoo yanakuja ya nini?

Yaani unatembea porini ukijua kabisa Kuna Simba, HUYAPENDI MAISHA YAKO?

#YNWA
Watu wanatafuta uhakika wa kukaa kati
 
Wenzetu mnaoaga wanawake wa wapi? Sina mke ila Nina MPENZI. Nina muamini zaidi ya 100% na ni kisu cha haja with brain.
Naweza kua nae mbali miez hata miwili na hana tatizo na sijawahi ona dalili wala matendo ya uhuni. Kifup ni Mwanamke na Nusu.
Kwa anaebisha mimi najitolea kumpa namba ajaribu aone nachosema. Kifupi ni kisu na nusu
wanawake unawajua shekhe wakianza yaoo ni ngumu tena
 
Punguzeni KUOA ili MUACHANE NA MATATIZO.

Sijui ""jiandae kisaikolojia"" sijui "kitanda hakizai haramu" sijui "ukiwa ndani ya ndoa ishi maisha yako"

Sasa mnao huku mkijua kabisa Kuna Majanga kibaoo yanakuja ya nini?

Yaani unatembea porini ukijua kabisa Kuna Simba, HUYAPENDI MAISHA YAKO?

#YNWA
Haina tofauti na kusema, watu waache kusafiri kisa ajali zipo....
 
Wenzetu mnaoaga wanawake wa wapi? Sina mke ila Nina MPENZI. Nina muamini zaidi ya 100% na ni kisu cha haja with brain.
Naweza kua nae mbali miez hata miwili na hana tatizo na sijawahi ona dalili wala matendo ya uhuni. Kifup ni Mwanamke na Nusu.
Kwa anaebisha mimi najitolea kumpa namba ajaribu aone nachosema. Kifupi ni kisu na nusu
Kumbuka pia wanataaluma ya kutunza Siri zote kuanzia embargo mpaka Siri kuu hivyo shemela atagegedwa na wala hutajua milele. Wana zingatia ;

S isemi
I isipokuwa
R uhusa
I kitolewa
 
Punguzeni KUOA ili MUACHANE NA MATATIZO.

Sijui ""jiandae kisaikolojia"" sijui "kitanda hakizai haramu" sijui "ukiwa ndani ya ndoa ishi maisha yako"

Sasa mnao huku mkijua kabisa Kuna Majanga kibaoo yanakuja ya nini?

Yaani unatembea porini ukijua kabisa Kuna Simba, HUYAPENDI MAISHA YAKO?

#YNWA

Ndiyo nimejua leo kumbe Wanawake na sisi huwa tunaoa.
 
Punguzeni KUOA ili MUACHANE NA MATATIZO.

Sijui ""jiandae kisaikolojia"" sijui "kitanda hakizai haramu" sijui "ukiwa ndani ya ndoa ishi maisha yako"

Sasa mnao huku mkijua kabisa Kuna Majanga kibaoo yanakuja ya nini?

Yaani unatembea porini ukijua kabisa Kuna Simba, HUYAPENDI MAISHA YAKO?

#YNWA
Acha utoto sasa utapataje familia au utabeba mimba wewe mwenyewe na utaingia leba kuzalishwa na dada zako
 
Kama mke wako ana chura aka msambwanda imekula kwako

Ova
We jidanganye uoe demu m bovu kama huyo hapo.. kwa wivu wako wa kijinga afu uanze kutamani wa pisi zetu tukikufuma tunakunyonya nnya..
2470702429878794806~2.jpg
 
Wenzetu mnaoaga wanawake wa wapi? Sina mke ila Nina MPENZI. Nina muamini zaidi ya 100% na ni kisu cha haja with brain.
Naweza kua nae mbali miez hata miwili na hana tatizo na sijawahi ona dalili wala matendo ya uhuni. Kifup ni Mwanamke na Nusu.
Kwa anaebisha mimi najitolea kumpa namba ajaribu aone nachosema. Kifupi ni kisu na nusu
Pole weeee
 
Back
Top Bottom