Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,326
- 4,789
Nguo basi za kazi gani ?
Wadau baada ya pilikapilika za skukuu inayoelekea kuhitimika, niseme habari zenyu.
Kusudio langu hapa, chanzoche ni kutokana na slogany ya kaulimbiu za vitabu vyote vya dini kubwa , pale vinapojinadi kwamba "MUME NA MKE NI MWILI MMOJA!"
Kimsingi mimi si dhamira yangu kupinga kaulimbiu hii , bali niko ktk kuihamasisha ieleweke kwa mapana yake.
Na hasahasa kusudio hapa nasema , kama watajwa hapo juu ni mwili mmoja, basi itokeapo mfano mko mmeshinda hom siku za mapumziko, na mpo wenyewe tu, hakuna vya beki3 wala watoto, kuna haja gani basi mkawa mmevaa minguo?
Yes ! Wife yuko kitchen akapika akiwa naked, anafagia, osha vyombo uchi, na wewe mzee uko mtupu pia.
Lengo hapo likiwa ni kuhamasishana mke na mume ktk kuliendea tendo takatifu, incase pakitokea demand toka kwa mmoja yeyote baina yenu.
Nataraji mawazo yenu, je kuna tatizo ktk hili ?