Kama Mke na Mume ni Mwili Mmoja, Nguo basi .............?

Kama Mke na Mume ni Mwili Mmoja, Nguo basi .............?

Ukitaka tendo ukiwa na nguo halihamasishiki? Hamna shida kuwa naked kwa mme na mke mkiwa wenyewe sio kosa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ukitaka tendo ukiwa na nguo halihamasishiki? Hamna shida kuwa naked kwa mme na mke mkiwa wenyewe sio kosa

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Una akili mingi wewe!
 
Shem!
Katika siku umepata kunishangaza basi itakua leo!
Iweje maeneo ya binadamu yaliothibitika duniani kote, kwamba ndiyo yanayo produiz utamu kisha YATISHE ?
Utamu na matisho vina rileshen ?
Hivi shem we ukiyatizama au kuyapatia picha yapo vipi?!
 
Mmmh heehe sijui kama itakua inafaa lol. Naungana na Chocs kwenye post yake huko juu kabisa
 
Last edited by a moderator:
Mbona hujaitendea haki hiyo story watu8?
Ni hivi , simba alipomuona binadamu (Me) akiwa mtupu, alichanganyikiwa baada ya akijiambia "wanyama wote wana mikia kwa nyuma! Huyu mkia wake uko mbele!" ndo Mr. Layan kutoka baru!

Hahahahaaaaa...
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh

Alaaa!
Chocs , badala umsaidie Bishanga walau kwa kumlisha injili apunguze kinywaji , wee unaishia kucheka! Au unasubiri afikie stegi ya kulamba matap-tap ndiyo umlishe NENO?
Muhurumie atapitiliza!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom