MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,982
- Thread starter
- #21
Kwamba saa tatu za asubuhi uwanja una watu wengi na viongozi wakuu wa CHADEMA wako jukwaani!Refernce picha ya TBC iliyopigwa saa tatu asubuhi?
Kwamba saa tatu za asubuhi uwanja una watu wengi na viongozi wakuu wa CHADEMA wako jukwaani!Refernce picha ya TBC iliyopigwa saa tatu asubuhi?
Wewe umeenda kulala?Basi nenda kalale
Ndio siasa!Tutaona mengi
Utakuwa umetumwa wewe sio bureNdio siasa!
Kupigwa risasi sio SERA akina Mandela walifungwa .Nchii imejaa matahira, mmewatisha, mmewafunga mmewapiga risasi, mmewaua, mmewakataza wasifanye siasa na bado mnawawekea mapingamizi wasigombee.
Lakini bado hamjiamini,
Lissu atashinda kwa kishindo
Mwitikio wa Jana kule mbagala Ni indicator nzuri
Wangejipanga vipi wakati walikuwa kwenye gereza la kisiasa ?baada ya uchaguzi wa 2015 CHADEMA wameishi kwa siasa za matukio wakitafuta huruma machoni kwa watu, matunda yake ndio tumeona kwenye uzinduzi wa kampeni hawajajipanga kabisa kwa sera. Nafikiri ACT Wazalendo wanaweza kuwa chama kikuu cha upinzani baada ya uchaguzi huu. Ni muhimu sana kuwa na vyama vya upinzani vilivyo imara kwa maendeleo ya taifa.
Karibu sana!Asante!!!
Ufunguzi wa kampeni za CHADEMA umejibu maswali mengi sana!
Yaani ulichoandika hapa ndio kutojipanga kwenyewe!Huwezi kujudge kwa mkutano mmoja tena ulioitushwa haraka haraka,,walipaswa kufungua kampein jumapili,mind za watu zilikuwa hazijaclick uelekeo wa kampeini
Kwani kuna tatizo kama nimetumwa?Utakuwa umetumwa wewe sio bure
Nigawie Basi Hilo buku Saba ulilopewaKwani kuna tatizo kama nimetumwa?
Jikite kwenye hoja!
Kama unadhani hakuna hoja unaweza kupuuza na kuendelea na biashara zingine!
Eti ulete picha gani wakati wewe ni debe tupuNilete picha gani?
Unaleta ushahidi wa picha ya TBC? Pumbavu kabisa, wameweka picha ya saa 5 ndiyo wanatuaminisha nfiyo mahudhurio ya wananchi hayo? Ndiyo maana Mbowe aliwatimua uwanjani!Pamoja na CHADEMA kuchagua sehemu yenye uwanja mdogo katika ufunguzi wa kampeni lakini hata kuujaza walishindwa!
Eti ulete picha gani wakati wewe ni debe tupu