tatizo watu hawajui kilicho fanya abadili rangi ya ngoozi yake..... kwa u fupi alikuwa anaumwa ugonjwa wa vitiligo..... ambao unamfanya mtu awe na mabaka mabaka meupe mwilini ambayo yanafanya mtu asiwe shufu( comfortable) .....fuatilia huu ugonjwa utaona adha yake
Michael Jackson hakuwa vile kwa kupenda, ni madhara aliyoyapata baada ya kuungua wakati ikishiriki tangazo la PEPSI, baada ya kuharibika nywele na ngozi ikabidi afanyiwe operation na avae wigi, hivyo ndivyo ninavyofahamu na ninafikiri ni kweli. RIP MJ!!!