Kama mchezo, anasahaulika!

Kama mchezo, anasahaulika!

Katika public political domain.......very sad
Mfano, mimi mdude siwezi msahau hata Ben saanane na Mawazo. Wamekuwa kwenye maisha yangu ya kila siku. Mara ya mwisho nilikuwa na mdude pale Dodoma tukishinikiza Mwabukusi atangazwe. Tukaanza kuimba nyimbo baada ya usalama na Polisi kuingilia uchaguzi. Alikuja tangazwa usiku wa manane.

Wengine mdude mnamjua mtandaoni. Wengine tunamjua kwa wema wake na uthubutu.
 
Aulizwe Mbowe mdude naogopa watu wenye ushiwi kwenye vyombo vya dola nina wasi wasi hata waliopiga risasi Lissu walitumia ugomvi wao na Magu anaweza hasiwe Magu ila watu wake wakahusika laki na Mtandao nao wamo
 
Back
Top Bottom