KAMA MANGUNGU ANASEMA VIONGOZI HAWAHUSIKI KUVUJA JEZI BASI WACHEZAJI.. πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† watajeni

KAMA MANGUNGU ANASEMA VIONGOZI HAWAHUSIKI KUVUJA JEZI BASI WACHEZAJI.. πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† watajeni

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,023
Reaction score
36,865
Hahahaaaa ukistaajabu ya polepolee utafurahia ya mangungu

mwenyekiti wa Simba ameibuka na kusema hawahusiki kabisa na swala la kuvuja jezi

kama viongozi walifanya sehemuyaoo na kama kuna ivujujaji wa jezi vasi waulizwe wengine nasio viongozi wa Simba

swali la 1
Unasema kama kuna uvujaji
unamaanisha hukuona hizi picha za jezi kabla ya uzinduzi wenu na baada ya kuzindua mnaleta zilezile ambazo wengine tumegaia ma gfriend ijumaa iliyopita kwenye bday tegeta

2.Kama kiongozi mkubwa unaweza kujitokeza kujitoa swala la uvujaji wa jezi je nani alievujisha

1.Yanga

2.wachezaji wa Simba

3.wafanyakazi wa Simba hapo clubs

4.waliotengeeneza jezi..nenden mjipange hizi dili chafu mlizofanya mkubaliane hamtozifanya tena na hakuna siri dunian


Wite wanajua baada ya kusaini kuna baadhi yenu mlitumiwa mizigo kabla ya miziigo ya club muweze kuwapiga watu mapemaaa

Mengine ntarudi tenaa...

Mangunguu

omba radhi wana simbaa pls
 

Attachments

  • 1756704989126.jpg
    1756704989126.jpg
    783.4 KB · Views: 16
attitude yule bwege anasema jezi zina q..code unaijua hiioo vyema nimecheka nikoohoii
 
Haa Suala La Kawaida Hiyo Jersey Inavaliwa Gizani Ama Hadharani
Watu Washikane Uchawi Kisa.....
 
Back
Top Bottom