Huwa nawaza sana nafikia conclusion labda our frontal cortexes are lacking, mtu mweusi ni kama hajielewi vile. Haiwezekani tukawa nyuma kiasi hiki kwa miaka 60 ya uhuru na bado mambo ya kijinga kijinga yanakuwa entertained. Ni watu wa ajabu sana sisi. Ngoja niishie hapa.
Ni dhahiri kuwa maneno ya hayati JPM yana ukweli kuwa hujuma ya kufungulia maji ili yasiende kwenye vyanzo vya kuzalisha umeme vya, Kihansi, Kidatu, Mtera na kwingine ndio chanzo cha mgao na tatizo la umeme hapa Bongoland.
Kama raia wa China na muwekezaji alikuwa anachepusha lita Mil moja kwa saa amedhibitiwa ndani ya masaa 48 na tayari maji yameongezeka mto Ruvu, hivyo hata wanaohujumu vyanzo vya kuzalisha umeme wakidhibitiwa mgao na upungufu wa umeme utapungua.
My take; Maneno ya hayati kuwa vyanzo vya kuzalisha umeme huwa vinahujumiwa kwa kufungulia maji yana ukweli.
hii nchi ya limaku sana, watu waliomba mabadiliko ya katiba wakaambia acheni nitengeneze uchumi kwanza watu wakiwa wanasubulia huo uchumi utengenezwe ghafla mnaletewa mgao wa umeme kwa ngonjera za upungufu wa maji mitoni, ila ukweli maji yapo ya kutosha sema wanasiasa baada ya kuona jua kali wakajua hata tukisingizia maji yamepungua hawa ng'ombe wataelewa tu na atakaebisha tunampa kesi ya ugaidi akaungane na kina adamoo kule segedansi
Kumbe yule mchina ana vibali na baraka zote toka serikali kuendeleza shughuli za kilimo katika eneo lile pamoja na kutumia maji kwa irrigation, ukistaajabu ya musa...
Sasa kama hamukuweka kipengelea ya yeye kuacha kutumia maji ya mto Ruvu wakati wa kiangazi (uhaba) hilo si tatizo lake.